Mwanaume ni nini kifanyike ili kuweka uhusiano mzuri baina ya wazazi na wake zetu

Mwanaume ni nini kifanyike ili kuweka uhusiano mzuri baina ya wazazi na wake zetu

Mke abaki na majukumu yake ya ndan kwake mambo yako na wazaz wako asiyaguse Wala kuingilia anachotakiwa ni kuhakikisha mume anatimiza majukumu ndan swala la mume kusaidia wazaz wake Hilo halimuhusu maana mmekutana ukubwan na amekukuta unasaidia wazaz wako

Endapo mume akasahau majukumu yake ndan Kwa mke wake na kubase na wazaz na ndugu zake bas mke Hana bud kuhoji na kuchukua hatua [emoji4]
Sure
 
Salaam jamiiforum hope my wazima.

Jamani maisha ndiyo haya haya,utake usitake bado utaishi kwenye mfumo wa maisha ya watu wengi. Ukijipata kidogo kimaisha ukawa na uwezo fulani basi umetengeneza vita na uhasama

Leo niongelee hii kadhia ya wazazi kuhisi wana haki Kula matunda ya kijana wao (yaani wewe) na mara nyingi familia za kimaskini ndizo zenye hizi changamoto hizi

Kwanza,

Wamekuzaa ,wamekukuza,na kukusomesha,hivyo wanahisi Wana haki ya lazima,yaani unapaswa kuwasaidia.

Lakini pili mke naye kujiona ni mwenye haki kuliko wazazi wako.kuna vitu anavikumbuka na kuviorodhesha na kuhisi yeye ni mwenye haki kwako,anaweza kukupangia Mshahara,na mipango yako iweje,wapo ambao ukilegea Sana unaweza kusagau wazazi wako.

Je ,nini kifanyike, kubalance mambo ili usionekane wewe ni boya au umelishwa limbwata,au mke kuhisi humpendi?

Toa maoni yako mwanabodi.
Karibu.
Mwanaume aliyekomaa na mwenye msimamo hii swala jepesi sana kwake.
 
Mkeo haumsaidii unaishi nae. Wazazi unapa sapoti au niseme unawapa tough sababu umri umeenda unawapa tu sapoti ya kishikaji waweze kusurvive na kuishi kwa utulivu.
 
Najifunza kutoka kwa
Blood Ibn Unuq
Mentor wangu Dr am 4 real PhD
Blood ukioa inatakiwa Ufocus kwa mkeo na kwa maisha familia yako[Watoto] baadaye.

Mzazi unakua unamsapoti pale tu inapobidi, Siyo kila jukumu lake unapaswa kumsaidia.

Hapana!!

Mzazi hatakiwi afanye uwe na wasiwasi kutekeleza majukumu ya familia yako.

Mzazi alipokuleta duniani ilipaswa akuandalie na mazingira ya kuwa na Maisha bora.

Mzazi alikuleta duniani bila ridhaa yako.

Tengeneza maisha yako, Tengeneza maisha ya watoto wako.

Muache mzazi aendelee kujipambania unless labda una pesa nyingi sana ila kama bado unajitafuta focus na maisha yako.

Msaidie mzazi pale inapokua ni lazima kufanya hivyo tu.

Blood 👍🏾👊🏾✊🏿
 
Blo

od umetisha aseeh nitaishi humu
 
Back
Top Bottom