Mwanaume ni nini kifanyike ili kuweka uhusiano mzuri baina ya wazazi na wake zetu

Sure
 
Mwanaume aliyekomaa na mwenye msimamo hii swala jepesi sana kwake.
 
Mkeo haumsaidii unaishi nae. Wazazi unapa sapoti au niseme unawapa tough sababu umri umeenda unawapa tu sapoti ya kishikaji waweze kusurvive na kuishi kwa utulivu.
 
Najifunza kutoka kwa
Blood Ibn Unuq
Mentor wangu Dr am 4 real PhD
Blood ukioa inatakiwa Ufocus kwa mkeo na kwa maisha familia yako[Watoto] baadaye.

Mzazi unakua unamsapoti pale tu inapobidi, Siyo kila jukumu lake unapaswa kumsaidia.

Hapana!!

Mzazi hatakiwi afanye uwe na wasiwasi kutekeleza majukumu ya familia yako.

Mzazi alipokuleta duniani ilipaswa akuandalie na mazingira ya kuwa na Maisha bora.

Mzazi alikuleta duniani bila ridhaa yako.

Tengeneza maisha yako, Tengeneza maisha ya watoto wako.

Muache mzazi aendelee kujipambania unless labda una pesa nyingi sana ila kama bado unajitafuta focus na maisha yako.

Msaidie mzazi pale inapokua ni lazima kufanya hivyo tu.

Blood πŸ‘πŸΎπŸ‘ŠπŸΎβœŠπŸΏ
 
Blo
od umetisha aseeh nitaishi humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…