Mwanaume ni..

Nimemsikia mwingine akisema huko mwanaume kunya mavi laini ni usista duu mwanaume kunya mavi magumu hadi mk..du utoe damu kuonyesha ungangari.
 
Mwanaume kuoga maji yalowekwa hiriki na abdalasini ni UMAMA mwanaume unaoga maji yenye upupu na kuyachambia kabisa,..
 
Hata kumjibu mwenzio huo ni UMAMA mwanaume wa kwel anamfata Mod na kumwambia afute uzi, ampige ban jamaaa!
Kumfuata Mod ni umama,mwanaume anafuta mwenyewe
 
Mwanaume kuny* na kujitawaza ni umama,, mwanaume kamili anabaki ivovoo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…