Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
Mwanaume kutoboa macho ili uwe kipofu huo ni Umama,mwanaume unakata kichwa kabisa unatembea na kiwiliwili tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume kutoboa macho ili uwe kipofu huo ni Umama,mwanaume unakata kichwa kabisa unatembea na kiwiliwili tu.
Kumfuata Mod ni umama,mwanaume anafuta mwenyeweHata kumjibu mwenzio huo ni UMAMA mwanaume wa kwel anamfata Mod na kumwambia afute uzi, ampige ban jamaaa!
Mwanaume ni kuzichukua nguo zote unampa demu wako unanunua mpyaMwanaume kulialia eti demu wako kavaa nguo zako na amezitanua ni u_big mama