Mwanaume nipe ushuhuda ulivyoweza kuacha kujichua

Naacha kesho birthday yangu nazaliwa upya
 
Walileta housegirl nyumbani, wakati huo Kaka zangu wote wanasoma Boarding na vyuoni na mimi nasoma Day, kwahio hakukua na competition kabisa. Nilikua nakula hadi nasaza
Loh kumbe ndio sababu wamama huwa wanaleta house girl toka Iringa na dodoma wazuri ili ikitokea amehika mimba isiwe tabu kwenye morphologhy?
 
Kitendo cha kujitoa mbegu mwenyewe ndo punyeto hiyo hiyo mkuu haijalishi umeifanyaje
 
Kitendo cha kujitoa mbegu mwenyewe ndo punyeto hiyo hiyo mkuu haijalishi umeifanyaje
Pengine haujui

Mishipa inakufa kwa kuishughulisha na mikono yako migumu.. ndio inakufa

Hiyo nyama inatakiwa iingie kwenye nyama raini ili isiharibike… tafakari
 
Pengine haujui

Mishipa inakufa kwa kuishughulisha na mikono yako migumu.. ndio inakufa

Hiyo nyama inatakiwa iingie kwenye nyama raini ili isiharibike… tafakari
Upo sahihi lakini kitendo cha kutumia kichocheo kingine tofauti na uke kutoa mbegu zako wewe mwenyewe hyo ndo punyeto hata kama unaifanya kwa njia inayo aminika kuwa salama, bado itaitwa tu punyeto

NB: wazo lako nimelielewa mkuu
 
Yeah ni punyeto..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…