Mwanaume nipe ushuhuda ulivyoweza kuacha kujichua

[emoji23][emoji23][emoji23] mahi kumbe nawee ni muhaini hivyoo? Nimecheka sanaa. Lol
Da shoga, Moja ya tabia yangu mbaya ni kumhamasisha baba nanii afanye hii makitu, mimi kama mshirika .

Nyeto sio mbaya, addiction is…!
 
Nilikuwa siijui nyeto na mara ya kwanza kuijui ilikuwa nina miaka 14.

Alaaniwe yule jamaa aliyepiga nyeto mbele yangu nikaijua.

Toka hapo nikawa mdau hadi mwaka jana nilipoingia kwenye mahusiano serious, nina mwaka sasa sijapiga nyeto!
Maelezo yako kama ya Jaji Chande.
Takwimu zinapinga vikali haya maelezo yako.
 
Da shoga, Moja ya tabia yangu mbaya ni kumhamasisha baba nanii afanye hii makitu, mimi kama mshirika .

Nyeto sio mbaya, addiction is…!
[emoji23][emoji23][emoji23] unaona Raha akiwa anaji selfie?? Mie nilimuambia siku afanye nia yangu ni kuona zile sperms zake.

Aloooh alivyokojoa, nilivoona tuu, nikahisi kichefu chefu, sitaki tena kuona. Woiiiih.
 
Nyeto bana ni Jambo la kitoto saana unaweza ukaacha hata miaka kumi lakini siunajua utoto haushagi kwa mwanaume.

Kitambo saana huu unaenda mwaka wa 26 sasa
 
Nyeto bana ni Jambo la kitoto saana unaweza ukaacha hata miaka kumi lakini siunajua utoto haushagi kwa mwanaume.

Kitambo saana huu unaenda mwaka wa 26 sasa
Dah, ni kweli kwakuwa ni suala la kisaikolojia, lakini jaribu kila pahala kuwa na mkeo, ile hamu ikija tu unamwambia akupe tendo takatifu utajikuta unaacha kabisa kujichua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…