Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
- Thread starter
-
- #161
Anapofanya na kukakamaa kama amepigwa shoti ndio furaha yakooo?Da shoga, Moja ya tabia yangu mbaya ni kumhamasisha baba nanii afanye hii makitu, mimi kama mshirika .
Nyeto sio mbaya, addiction is…!
bado hujaacha, na hili baridi la leo ina maana umepiga puchu?Maelezo yako kama ya Jaji Chande.
Takwimu zinapinga vikali haya maelezo yako.
Wewe hujaijua nyeto vizur 😂😂😂Dah, ni kweli kwakuwa ni suala la kisaikolojia, lakini jaribu kila pahala kuwa na mkeo, ile hamu ikija tu unamwambia akupe tendo takatifu utajikuta unaacha kabisa kujichua.
Nyeto ipo kimtego saanaDah, ni kweli kwakuwa ni suala la kisaikolojia, lakini jaribu kila pahala kuwa na mkeo, ile hamu ikija tu unamwambia akupe tendo takatifu utajikuta unaacha kabisa kujichua.
😂😂😂😂 Dah sasa so unakausha tu ila hizi ndoa bhnOa ili usijichue... tatizo kwenye ndoa nako kuna mambo ya kunyimana kiholela. Zamani nilikuwa najua nikioa nitakuwa nailoweka kabisa kumbe kuna siku inabidi uiombe kwa kubembeleza.
Msema kweli nimpenzi wa Mungu, huwa nawaambia wanaume, usikubali mkeo avae kimini au kifua kipo nje, wanaume wanampigia "nyeto"mkeo.Nyeto ipo kimtego saana
Ni bora ukanunua sinza na river side kuliko "Nyeto"Wewe hujaijua nyeto vizur 😂😂😂