Mwanaume nyumbani ana goal kutwa anachepuka!

Wenyewe vibamia kutwa kusimangwa lakini Cha ajabu sie ndio wenye hela na ndio mnatupea mbususu zenu 🤣🤣🤣🤣
 
Mbona na wewe unatoa siri ya familia?
 
Una akili sana wewe ..
Muda mwingine wanawake tunazingua sanaa.. mwanaume katoka kutafuta pesa huko kapigwa jua kachokaaa tena sio kwamba anatafuta ya kwake tu, hapana.. ni kwa ajili ya familia yake.

Halafu mke anamkuta home kanuna,,, kachelewa kufika unaanza kuwaka kwamba katoka kwenye umalaya mara sjui nini… muda wa show mood yote imekata anajikuta hata uume hausimami vizuri .. mke tena anaanza kumsimanga katoka kufanya na malaya zake… kumbe maskini mbaba wa watu anawaza asubuhi ataacha nini kwa familia yake hajarudi na kitu siku hiyo… hapo madeni yamemjaa ..

Tuwe na huruma jamani matatizo tunayatengeneza wenyewe wakati mwingine.
 
Wife material na unayejitambua naamini ndoa yako ni salama sana maana unajua wajibu wako. Pongezi Kwa waliokufikisha hapo na kujitambua kiasi hicho
 
Na tatizo jingine ni kwa wanawake kuwanyima unyumba wenza wao kama adhabu ya kutotimiza anachokitaka au hasira.. Kumnyima mwenza wako unyumba ni kuua hisia za mwenza wako.. Na hisia za mwenza wako zitakapokuwa itakuchukua muda mrefu sana kuzirudisha..
 
Upo sahihi swala la nguvu za kiume ni la kisaikolojia zaidi, mtu anakuwa hashawishiki wakati akienda nje anapewa heshima kama mwanaume,
 
Umekuaje kama nikibamia kama hajakuoa ukiwa tayari umechakazwa na hauna laza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…