Mwanaume nyumbani ana goal kutwa anachepuka!

Mwanaume nyumbani ana goal kutwa anachepuka!

Na tatizo jingine ni kwa wanawake kuwanyima unyumba wenza wao kama adhabu ya kutotimiza anachokitaka au hasira.. Kumnyima mwenza wako unyumba ni kuua hisia za mwenza wako.. Na hisia za mwenza wako zitakapokuwa itakuchukua muda mrefu sana kuzirudisha..
Hilo nalo ni tatizo kubwa ndani ya ndoa.
 
Upo sahihi swala la nguvu za kiume ni la kisaikolojia zaidi, mtu anakuwa hashawishiki wakati akienda nje anapewa heshima kama mwanaume,
Exactly… ukitibu saikolojia tayari umetibu tatizo.
 
Back
Top Bottom