mwanaume sio mtu

Kuna mambo mnakera sana ndio maana mnaonekana sio watu. Ila huyo dada nae kajiabisha,
 

Nimeshtushwa na kicha cha thread kwani nami ni mwanume, lakini kumbe issue ni mwanaume 'irresponsible' na sio biological properties. Je, huko anakokwenda si kwa wanawake, je hao wanawake ni watu?
 

Bila shaka itakuwa ni MWANANYAMALA KWA ALI MANJUNJU
 
Correction! Mnaoana.
Ennie alokwambia nani? haiyaiya kuolewa ntarudi nyumbani kutembea,kwa heri ndugu zangu kuonana majaliwa,haiyia kuolewa,luolewa......
hivi maneno haya aliyaimba bishanga?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…