Mboni n'shasubiri vya kutosha....
keep on waitin..samthin gud iz kamin kwenye line yako.
wat line B. Beauty?
Just kip on waitin..a gud line tho
It just came :becky:
Demu wangu kila tukikwaruzana kidogo anasema mi sio mwanaume ila ni mwanaume suruali.
Tukitulia ananiomba msamaha na kusema kuwa alipitiwa na alikuwa hamaanishi kitu.
Hali hii imejitokeza zaidi ya mara sita sasa kwa nyakati tofauti tofauti.
Je kuna haja tena ya mimi kuendelea kumvumia na msemo wake huo au nimwache aende akatafute wanaume ambao sio suruali ila sketi?
:smile-big::smile-big:
Ina maana umekutwa nawe? hata hivyo kwa ushauri wangu mimi, usimuache ila jaribu kwanza kukaa naye mzungumze kwa upole na utulivu ili akueleze ni kwa nn huwa anaona wewe ni mwanaume suruali? maana kama kumwacha why ss ivi na tabia hiyo haijaanza leo ya kuitwa hivyo. You know what! labda kama umempata msichana mwingine ambaye umejihakikishia hamtakuja kuague, (sina hakika kama yupo) maana kutofautiana ni lazima cha msingi ni kutatua tatizo na sio kukimbia....Noa kisu chako uone kama atarudia hayo maneno yake by the way sijui kwanini kila mwanamke huwa anakimbilia huo msemo naona kama vile umeishazoeleka
Demu wangu kila tukikwaruzana kidogo anasema mi sio mwanaume ila ni mwanaume suruali.
Tukitulia ananiomba msamaha na kusema kuwa alipitiwa na alikuwa hamaanishi kitu.
Hali hii imejitokeza zaidi ya mara sita sasa kwa nyakati tofauti tofauti.
Je kuna haja tena ya mimi kuendelea kumvumia na msemo wake huo au nimwache aende akatafute wanaume ambao sio suruali ila sketi?
Ningekuwa wewe ningekuwa navaa kaptula/bukta kila mara
kumbe mtu ukiambiwa mwanaume sarawili inauma eehh, kwanini ucshukuru umeambiwa ukweli ujue pa kurekebisha?
...na wanawake wanaokazania kuvaa masuruali kila wakati inakuwaje?? Nyie na midomo yenu hiyooo!!sasa kama ni kweli mwanaume suruali usiambiwe?...ukweli unauma
Ukitaka kujua jinsi gani mtu wa karibu anavyowaza juu yako sikiliza nachosema wakati mmpendishiana! Hivyo ndio anavyoamini huwezi badilisha kitu wewe kwa mtazamo wake ni suruali tu! Angalia usawa mwingine!