Mwanaume Suruali

Mwanaume Suruali

Mle tigo huyo ndio atakuheshimu, hivi hivi utaishia kuomboleza na kulialia tu.
Si unajua ma hausi geli zao ni kutembea na wauza magenge, na wauza magenge wengi ni Wapemba, kwa hiyo wanambokoa tigo, akija kwako hapati raha wampayo wapemba.
Ushauri huu umeletwa kwa hisani ya watu wa ARABUNI.
Demu wangu kila tukikwaruzana kidogo anasema mi sio mwanaume ila ni mwanaume suruali.
Tukitulia ananiomba msamaha na kusema kuwa alipitiwa na alikuwa hamaanishi kitu.
Hali hii imejitokeza zaidi ya mara sita sasa kwa nyakati tofauti tofauti.
Je kuna haja tena ya mimi kuendelea kumvumia na msemo wake huo au nimwache aende akatafute wanaume ambao sio suruali ila sketi?
 
Nyani Ngabu na Beauty si mngeenda PM naona mnaharibu flow ya mada hii na chombeza zenu.
 
Noa kisu chako uone kama atarudia hayo maneno yake by the way sijui kwanini kila mwanamke huwa anakimbilia huo msemo naona kama vile umeishazoeleka
Ina maana umekutwa nawe? hata hivyo kwa ushauri wangu mimi, usimuache ila jaribu kwanza kukaa naye mzungumze kwa upole na utulivu ili akueleze ni kwa nn huwa anaona wewe ni mwanaume suruali? maana kama kumwacha why ss ivi na tabia hiyo haijaanza leo ya kuitwa hivyo. You know what! labda kama umempata msichana mwingine ambaye umejihakikishia hamtakuja kuague, (sina hakika kama yupo) maana kutofautiana ni lazima cha msingi ni kutatua tatizo na sio kukimbia....
Then, akishakueleza kwa nn anasema wee ni mwanaume suruali, mrekebishe kama si kweli with evidence, na kama ni ukweli, yaani ukweli mtupu basi jirekebishe tu kaka na maisha yataendelea...

Pole sana...we are not perfect except HIM ALONE
 
Demu wangu kila tukikwaruzana kidogo anasema mi sio mwanaume ila ni mwanaume suruali.
Tukitulia ananiomba msamaha na kusema kuwa alipitiwa na alikuwa hamaanishi kitu.
Hali hii imejitokeza zaidi ya mara sita sasa kwa nyakati tofauti tofauti.
Je kuna haja tena ya mimi kuendelea kumvumia na msemo wake huo au nimwache aende akatafute wanaume ambao sio suruali ila sketi?

Huyo ni wa kumtema lakini kabla hujafanya hivyo nenda dukani kwa mangi mchukulie vaseline mtelezeshee kunako mtandao ili akukumbuke maishani!
 
Ningekuwa wewe ningekuwa navaa kaptula/bukta kila mara
 
naipenda hiyo mwanaume suruale..ha ha inaamaana nyingi hiyo,kwanza wewe ni mwanaume unataka kumtumia dem tu au mkeo but hata ukimpa nauli unamdai tena kwa vishindo he he utadhani si mkeo au mtu wako,kingine wewe chako chako..daa inamaana nyingi kwa kifupi ni wanaume wasiodaidia na kulalama kila wafanyiapo wakezo jambo orr nilikusaidi hiki na kile siku ile..loohh,,unaitaji kulalama kweli kwa mkeo au mtu mlieshibana kwa miaka na miaka???
 
Ukitaka kujua jinsi gani mtu wa karibu anavyowaza juu yako sikiliza nachosema wakati mmpendishiana! Hivyo ndio anavyoamini huwezi badilisha kitu wewe kwa mtazamo wake ni suruali tu! Angalia usawa mwingine!

Kuangalia usawa mwingine tu haitasaidia. kikubwa ni yeye kubadili tabia, ajishughulishe ktk nyanja zote.
Vinginevyo hata akitafuta mwingine mambo yatakuwa ni yaleyale au hata mabaya zaidi.

wengi wamekuwa wakisema ati ukiwa na mdada msomi basi ni matatizo tu na kukimbilia kwa wasiosoma!

Let the truth be told!
 
Back
Top Bottom