Mwanaume tabia hizi hazifai..... Jipange.

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
3,732
Reaction score
6,561
1-Kula hovyo barabarani.
2-Kujipulizia marashi .
3-Kubishana na wanawake.
4-Kukaa sehemu moja na wanawake wengi.
5-Kuvuta sigara barabarani na huu ni ulimbukeni.
6-Kulewa kijinga hadi ubebwe.
7-Kuvaa nguo hasa kaptula za kubana.
8______________
embu endeleeni.
 
Hio namba mbili ina walakini. Kunukia ni mapenzi ya mtu na wala sio hafai.
Sasa unataka wanaume watembee wananuka vibeberu inahusu?!
Mwanaume kunukia kikwapa bana, kuna wengine ukipishana nao kama umepishana na jini vile kwa mwanaume ikizidi sana ni shida.
 
Sijawahi kuwaza wala kufikilia haya mliyoandika hapa, labda kwa sababu ya kukimbizana na shekeli, vinginevyo bila hayo maisha hayaendi.

I mean hayo ni sehemu ya maisha pia.
 
3&4 nakazia
 
Hili kwel halifai mkuu unakuta mdingi kila siku yy ni kuzubaa home na kueka kiti home cha kukaa masaa yaende alaf wife kaulamba katoka jion ndo anarud
unakuta mwanamke akipata mshahara mwanaume anaomba pocket money, na huko kukaa nyumbani mwisho wake ni kuchepuka na mfanyakazi wa ndani.
hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…