Mwanaume tabia hizi hazifai..... Jipange.

Mkuu hapo kujipulizia marashi embu tuache kidocho bhanaa.
Kidume lazima anukie na awe na haiba ya mvuto.
 
Hivi unajua raha ya mwanaume anaenukia vizuri wewe?
 
Yaani hata kujipulizia marashi kwa mwanaume,tayari nayo umeiweka kwenye tabia za kishoga?.
1. Kwa vyovyote vile wewe ni mchafu kupita kawaida
2. Kwa tabia hizo utasema hata kupaka mafuta,kupiga mswaki ni kwa ajili ya wanawake tu?
3. Kwa namna ulivyoongea hapo ndio aina ya watu wanaosema mwanaume uwe mgumu,eti usilale sehemu laini,mfano godoro,ukiamka nawa tu usoni,,hakuna kuoga,hakuna kuweka sawa kitanda,we ukiamka tu ni kuchomeka nguo mwilini moto wako
4. Wazungu halali yao waseme waafrika wengi wananuka
 
Hio namba mbili ina walakini. Kunukia ni mapenzi ya mtu na wala sio hafai.
Sasa unataka wanaume watembee wananuka vibeberu inahusu?!
Hawa ndio wale wanaonuuuka basi zima harufu kali ya jasho ni yake basi zima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…