AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Hahaha yaan unamaanisha vice versa is true au mimi ndio sijakuelewa Dokta?Ngoja nikapande daladala nikatafute kabisa la kilokole lililo karibu..
Naona pesa napata ila saving vs dependents is greater than 😌😊😁 🤣
sameja leo ni Jmos walokole hawapo makanisani mpaka keshowNgoja nikapande daladala nikatafute kanisa la kilokole lililo karibu..nikapate upako.
Naona pesa napata ila saving vs dependents ratio, is greater than savings 😌😊😁 🤣
Amka ukatafute zipo kila sehemu jicho lako tuPesa ina siri masta ! Pesa ni formula!
Unadhan ambae hana hela hapambani? Ama ni mvivu ?
Unadhani mwenye pesa ndo anapambana sana ?
Ishi nayo hiii
Hizo ni hela mkuu ndugu wanakuja wanajua kuna uhakika wa kula, kunywa, kupishana chooni, kila siku ni birthday party pesa imejaa mfukoni tafuta hela mwanaumeHii ni kweli, kuna jamaa yupo kwenye late 30yrs amefanikiwa,kuna wazee kila mwaka huja ugeni unajiuliza hawa wazee kweli wa kuja kweli kwa kijana mdogo namna hii tena kila mwaka! Ingekuwa afadhari kidogo labda angekuwa mzee mwenzao ningesema wanakuja kutambika na kuchukua nasaha za mzee mwenzao kuhusu mambo ya kale. Ukiwa na hela hata ukiwa kijana wazee wanakutambikia.
mi kila siku naamka ila sizioni,, naomba nielekeze chimbo lako na mimi nizamie liwalo na liweAmka ukatafute zipo kila sehemu jicho lako tu
pesa ina siri, ina mifumo na miongozo yake.... hutaambiwa/shauriwa kila kitu, wewe kaza fuvuAmka ukatafute zipo kila sehemu jicho lako tu
Umenikumbusha, kuna sehemu nilikua napita daily sasa hio sehemu kulikua na binti anauza ubuyu kwenye meza daily hapati wateja wengi ila anauza kidogo, sasa kuna kijana akamfuata akamuuliza wewe kwa siku hapo unaingiza shingapi? Akamwambia kiasi fulani, akamwambia sasa yeye anapofanyia kazi akimpeleka atalipwa mara 4 na zaidi ya hio anayoipata hapo yupo tayari ampeleke? Binti akamwambia hata sasa hivi yupo tayari ampeleke, kijana akamwambia kesho asubuhi tutaenda je unaweza kuamka asubuhi sana? Binti akasema naweza, sasa hivi binti haonekani tena na ukikutana nae sio yule uliemjua mwanzo, pesa zinabadirisha watu wanakua watu wapya sio watu wa zamani, tafuta hela mkuumi kila siku naamka ila sizioni,, naomba nielekeze chimbo lako na mimi nizamie liwalo na liwe
Sijakataa mkuu ila zitafute hua zinatafutwa haziji hivi hivi, wake uppesa ina siri, ina mifumo na miongozo yake.... hutaambiwa/shauriwa kila kitu, wewe kaza fuvu
nikatafute wapi? basi tufanye wew ndo huyo kijana alf mimi ndo huyo binti hebu nielekeze hilo chimbo na mimi nibadilike mpaka mnisahauUmenikumbusha, kuna sehemu nilikua napita daily sasa hio sehemu kulikua na binti anauza ubuyu kwenye meza daily hapati wateja wengi ila anauza kidogo, sasa kuna kijana akamfuata akamuuliza wewe kwa siku hapo unaingiza shingapi? Akamwambia kiasi fulani, akamwambia sasa yeye anapofanyia kazi akimpeleka atalipwa mara 4 na zaidi ya hio anayoipata hapo yupo tayari ampeleke? Binti akamwambia hata sasa hivi yupo tayari ampeleke, kijana akamwambia kesho asubuhi tutaenda je unaweza kuamka asubuhi sana? Binti akasema naweza, sasa hivi binti haonekani tena na ukikutana nae sio yule uliemjua mwanzo, pesa zinabadirisha watu wanakua watu wapya sio watu wa zamani, tafuta hela mkuu
Nilishacha kabisa habari ya kumlalamikia mshikaji au ndugu aliyekuja mkoa naoishi nikasikia amekuja halafu hajanitafuta.Yangu ni hayo tu, leo sijisikii kuandika gazeti kubwa la Serekali kwa mada za kueleweka km hizi ili nikuchoshe sio vizuri kabisa mimi sihitaji kukuchosha mkuu, nimejisikia kukukumbusha tu.
Sasa wewe kaza hilo shingo lako tegesha hilo fuvu usitafute hela halafu uone km kuna ndugu atakutembelea hata ukilazwa.
Amka hapo nenda ukatafute hela.
Acha uvivu.
Muone.
na ukizipata watakuja waharibu chanzo chako cha mapato,mipaka ni sahihi kabisa ila usiache kuwasaidiaNilishacha kabisa habari ya kumlalamikia mshikaji au ndugu aliyekuja mkoa naoishi nikasikia amekuja halafu hajanitafuta.
Huwa nacheka tu kwa sababu kinachowavutia sina kwa sasa! Watajileta tu nikizipata
Ndugu hawaji ukiwa haunukii harufu ya notiNilishacha kabisa habari ya kumlalamikia mshikaji au ndugu aliyekuja mkoa naoishi nikasikia amekuja halafu hajanitafuta.
Huwa nacheka tu kwa sababu kinachowavutia sina kwa sasa! Watajileta tu nikizipata
Noted 💯🎯Pesa ina siri masta ! Pesa ni formula!
Unadhan ambae hana hela hapambani? Ama ni mvivu ?
Unadhani mwenye pesa ndo anapambana sana ?
Ishi nayo hiii