Mwanaume tafuta Hela Ndugu waje kukutembelea

Lazima ndugu waje ukiwa mfuko umetuna,
umenielewa lakini nachomaanisha

Halafu kwa tafsiri yako hiyo na unajisifia kabisa kuwa unaikubalii,ndugu wa kweli atakuja hata kama huna kitu,na ndiyo maana nakuambia ndugu anaekuja wakati umefanikiwa hao ni kama chawa au kupe hawana msaada kwako bali kukufiata kwa ilichonacho tu,ndugu aliekua na mimi kwa hali zote huyo unakula nae vyema kabisa sio mnafiki huyo
 
mimi motive ya kutafuta hela kuna maeno machache nimejipangia ni ya kusaidia wenye uhitaji,kuishi maisha ya kumpendaza Mungu,kula vizuri na familia yangu,kuvaa vizuri na familia yangu,kusaidia kazi ya Mungu, kipaumbele changu ni watoto wangu, mke wangu na mama yangu, maana mshua alishatanguliaga so hao ndiyo watu wangu wa karibu na sina cha kuregret juu ya maisha yangu,ndugu zangu niwasaidia vizuri tu ila wakiwa mbali mambo ya kuja kwangu kuanzia Januari mpaka december hapana sio ndugu zangu sio ndugu upande wq mke wangu ,ndugu lazima wawe na mipaka kipindi cha sikuku ndiyo naruhusu ndugu kutembelea ili watoto wawajue ndugu zao,na baada ya hiyo nimekua na maisha ya raha sana na amani tele ,najaribu kuwaambia kuwa kuna maisha unaweza ishi ukafurahia sana kwa kuweka kanuni ndogo tu,na Mungu hukaa sehemu yenye amani na utulivu isio na fitina,chagua kwq busara kuishi maisha mazuri na inawezekana
 
Utafute Hela kwani nimezipoteza?.
 
Hilo nalo neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…