Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
ni kweli ingawa watapnga! Mahb mnaongoza kung'oa walioshndkana kwa wengne. Mtu umepga jinz kali, tishet na kiatu matata ukiwa unanukia kama jin nan atakukataa? Hata ummy unapga.
Sex tourismLeo nimewasili mjini Ushirombo nikaazima kitoyota allex. Yaani mpaka muda huu nishapelekea chuma barmaids watatu.
Hirizi ni funguo tu. Kesho nitakuwa nyakanazi.
Acha ujinga tafuta pesa.
Nb. Mimi nina madeni mengi.
Ni wiki mbili tu zimepita tulimzika Monica Mashishanga huko huko na aliondoka na kimeo+ na alikuwa pisi Kali na chain ni kubwa sanaLeo nimewasili mjini Ushirombo nikaazima kitoyota allex. Yaani mpaka muda huu nishapelekea chuma barmaids watatu.
Hirizi ni funguo tu. Kesho nitakuwa nyakanazi.
Acha ujinga tafuta pesa.
Nb. Mimi nina madeni mengi.
Unajisifia kwa mabaamedi hahahahaaLeo nimewasili mjini Ushirombo nikaazima kitoyota allex. Yaani mpaka muda huu nishapelekea chuma barmaids watatu.
Hirizi ni funguo tu. Kesho nitakuwa nyakanazi.
Acha ujinga tafuta pesa.
Nb. Mimi nina madeni mengi.
ile kwa maisha ya kibongo ni mashne hasa. Na nilikuwa nimevimba nayo kama v6Dogo, acha uboya, Toyota Allex ni gari au chombo cha usafiri?
umenipa nondo mkali, ngoja wikendi mojawapo nitinge mwanza malimbe. Kuna mwamba nimechimba nae sana ataniazima vanguard lake.Unajisifia kwa mabaamedi hahahahaa
Ila nisikulaumu sana maana ndo mgeni katika maisha ya funguo tatu.
Mabaamedi achana nao hao hata kwa miguu unawachukua tu.
Anza kupiga zoezi kwa watoto wa vyuoni. Hao ndo tunanunuaga magari kwa ajili yao.
Kwa kugongea mademu ni gari. Wenye bodaboda tu wananyandua sana mbususu kwa kutumia bodaboda zao tu, sasa ndo unauliza Toyota Allex?.Dogo, acha uboya, Toyota Allex ni gari au chombo cha usafiri?
Hayajui maisha ya wabongo huyo.ile kwa maisha ya kibongo ni mashne hasa. Na nilikuwa nimevimba nayo kama v6
Mambo ya matatizo ya akili yanaingiaje?Ila tatizo la afya ya akili hapa nchini inabidi liangaliwe kwa jicho la tatu
We unahisi mleta mada Yuko sawa?Kuna mawili hapa, either aendelee na dozi au aanze doziMambo ya matatizo ya akili yanaingiaje?
Jinga na shamba sana hilo jamaa la ushiromboCheki ili jinga eti linajisifia kuwapelekea
Ukimaliza mzunguko wako ukapime magonjwa ya zinaa na akili.Leo nimewasili mjini Ushirombo nikaazima kitoyota allex. Yaani mpaka muda huu nishapelekea chuma barmaids watatu.
Hirizi ni funguo tu. Kesho nitakuwa nyakanazi.
Acha ujinga tafuta pesa.
Nb. Mimi nina madeni mengi.
Ukimaliza mzunguko wako ukapime magonjwa ya zinaa na akili.
Sema kweli kijana, Hiyo gari uliazimwa tu au ndiyo upinde? Maana habari zilizopo Kilimanjaro upinde umepamba moto.
Sikuombei mabaya lakini kumbuka tu, vya bure ghali. Tamzaa za kijinga zinawaponza sana vijana.
Mwanaume hajisfii uzuri utafilwa fala mmojaMimi sina gari ila ni HB watoto wanakuja wenyewe sina haja ya gar na kununua chips kavu ili kuonga natafuta pesa kwa matumizi yangu