Mwanaume tafuta hela ununue gari uwapelekee moto kwa chipsi kavu

Mwanaume tafuta hela ununue gari uwapelekee moto kwa chipsi kavu

Saaa
Leo nimewasili mjini Ushirombo nikaazima kitoyota allex. Yaani mpaka muda huu nishapelekea chuma barmaids watatu.

Hirizi ni funguo tu. Kesho nitakuwa nyakanazi.

Acha ujinga tafuta pesa.
Nb. Mimi nina madeni meng
Sasa wewe mbona hutafuti pesa una azima toyota na madeni juu??

Hii kauli imekuwa ya watu maskini kujifariji
 
Back
Top Bottom