Mwanaume Ukifumaniwa unachepuka, usikimbie

Hawa ndo wakioa wanajeshi,
Suala la kupigwa vibao na wake zao wanachukulia kawaida kisa ndo kazi yake,

MKE mi MKE TU,
Hata mamasamia kwa ustadh anakula makofi Safi TU ilhali yeye Ndo amir jesh mkuu [emoji4]
 
Ha ha ha....wee jamaa nuksi sana,
Uyo mkeo uko nae mpk Sasa? Huo ujinga alisharudia Tena au bado?
 
Ha ha ha....wee jamaa nuksi sana,
Uyo mkeo uko nae mpk Sasa? Huo ujinga alisharudia Tena au bado?
Wife yupo sana na amekuwa na discipline sana. Mbaya zaidi mchepuko nilizaa nao baada ya lile tukio. Before hiyo ishu wife alikuwa anampigia sana simu za kumtukana mchepuko, uzuri mchepu ulikuwa haurudishi matusi.
 
Mhe kanikera sana. Kuna wakati mwanaume unatakiwa ku fanya maamuzi ya kiume, kulinda status na wanao kuzunguka.

Mwanaume akimfumania mwanamke asilimia kubwa ndoa itakufa.ila mwanamke akimfuma mwanaume 50/50 ndoa itaendelea.

Mh alipoona ile hali ilibidi amuondoe mchepuko fasta abaki yeye amuite mke wake.

" babe mbona uko hapa mida hii? Nini shida mama watoto? Njoo twende nyumbani tulale .

Kuna watu nina kikao nao naona wamechelewa............. uongo mwingi sasa bora liende.

Mwanamke akifyumu kwa hasira unamkumbatia unaongea nae maneno matamu unamsii murudi nyumbani muyamalize.

Sasa mhe anaanzaje kukimbia kama mwizi?
Cheo chake kinambeba kudanganya alikuwa ana vikao na watu sasa inakuwaje anakimbia?

Sitetei umalaya ila kuna wakati unatakiwa kutumia akili.
Tusilaumu upande mmoja yawezekana kuna sababu kubwa kwa nini mhe anachepuka. .......anyway!
 
Kwahiyo DeepPond wewe ndiyo jabali kuu la kuchepuka si ndiyo? Wewe ni mchepukaji sugu, uliyeshindikana Afrika Mashariki na kati. Hadi unatoa mbinu zote.
Sijasema Mimi Bantu Lady

Nilichosema kwny Uzi mzima Ni muhtasari wa marejeo ya vikao vyetu mbalimbali vya chama tunavyokaa

#mjumbehauwawi[emoji1]
 
Wife yupo sana na amekuwa na discipline sana. Mbaya zaidi mchepuko nilizaa nao baada ya lile tukio. Before hiyo ishu wife alikuwa anampigia sana simu za kumtukana mchepuko, uzuri mchepu ulikuwa haurudishi matusi.
Ha ha ha....ulipata Mchepuko mstaraabu
Kingekua KICHWA Cha mamaJ wangeparuana balaa[emoji1]
 
Mweshimiwa kiazi kwelikweli
Alikimbia mkewe utadhan kibaka[emoji1]
 
Ni mwendo wa kukataa tu na kupinga ....usije ukakubali
Nakumbuka sekondari walimu walifanya inspection ya kushtukiza ..ilikua masaa ya mchana wakatutoa darasani wakatupeleka bwenini wakaanza ukaguzi wa simu
mimi nilikamatwa simu na picha ...sasa kwenye tranka langu nilikua na picha nimepiga na kamamsapu kamoja karembo sana cha darasa ile picha tulivyokaa tulipiga kimapenzi kabisa ..ukiiona tu lazma useme hawa ni wapenzi...mm nilikataa ile picha kwamba sio mimi
kufupisha stori;..walimu walimfata yule mdada walivyomuuliza yeye alikubali ila mimi nilikataa kata kataaaa
 
Inategemea na mazingra mkuu binafsi nakumbka kisanga changu nilipokuwa na mahusiano na demu mmoja kumbe Basha wake bodaboda mjomba usiombe bodaboda wakialikana kijiwe wanakuhamishia ww
 
Mweshimiwa kiazi kwelikweli
Alikimbia mkewe utadhan kibaka[emoji1]
Mama j .akikufuma usiangaike huyo ni pesa tu yanaisha. Mpesa imedhibitisha.....

Mkeo akikufuma huyo ni mizawadi na kumtoa out serengeti imeisha hiyo.
 
Mama j .akikufuma usiangaike huyo ni pesa tu yanaisha. Mpesa imedhibitisha.....

Mkeo akikufuma huyo ni mizawadi na kumtoa out serengeti imeisha hiyo.
Ha ha ha....Kama ulikuepo vile[emoji4]

Pia hata Mimi nishajisemea,
Siwez mfumania mwanamke nnaempenda kwa namna yoyote ile, otherwise iwe ni namtaftia tu sababu ya kumuacha.

Fumanizi sio zur hata kdg,
Linadhalilisha Sana hasa likifanyika hadharan

Pia linaua roho ya kuaminiana hata ukisema umemsamehe muendele na mahusiano
 
Inategemea na mazingra mkuu binafsi nakumbka kisanga changu nilipokuwa na mahusiano na demu mmoja kumbe Basha wake bodaboda mjomba usiombe bodaboda wakialikana kijiwe wanakuhamishia ww
Hii nmeongelea Yale mazingira ya kufumaniwa na mwanamke wako[emoji1]

Japo zote zinategemeana,
Hata iyo uliyosema ukiwa mnyonge unadhalilika, mi ukinifumania uwe umejipanga ila siwez kuruhusu uchukue point 3 muhimu[emoji1]
 
Wanawake sijui huwa wakoje,
Biti kdg tu tayar keshasema yote[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…