Mwanaume Ukifumaniwa unachepuka, usikimbie

Ndo umefumaniwa na mwenye mke sasa!
 
Ndo umefumaniwa na mwenye mke sasa!
Binafs sijawahi tembea na MKE wa mtu

Ila huwa nasema endapo nimefumaniwa,
Niko cornered sn na sioni pa kutokea, uyo mfumaniaji Kama kaziba Njia ya kutokea ajiandae kula ngumi kubwa ya uso au chochote kilichokaribu nimpasue usoni nitoroke eneo la tukio.

Kama Kuna la KUONGEA,
Tutajua uko uko polisi au mahakamani. Tutayazungumza, ntalipa fidia yataisha[emoji4]

Aisee,
BORA LAWAMA, KULIKO FEDHEA ya FUMANIZI[emoji1]
 
Kwenye kikao siku hiyo nilkuwa nasinzia ila nilipoamka niliipata point ya kukataa kosa ni kukataa sijafanya

Mke wangu mimi simkimbii hata awe mcheza judo simkimbii zaidi tu kumtaftia mchepuko usafiri aende salama yeye apande kwenye gari tukifika nyumbani atajuta kwanini amefanya huo ujinga.

Unanifumania umenitolea mahari?
 
Yes na ndoa ya 20 yrs inavunjika
Ndo Maana nikasistiza kua kama bado unamhitaji usimfumanie

Mi mwnyw japo nna makandokando yangu kamwe siwez mfumania wife ata nijue ananicheat

Siku nikimfumania ujue nilikua natafta TU sababu ya kumpiga chini, ila fumanizi haiwez kua main reason.

Maisha ya ndoa Ni Zaid ya uzinzi,
Anayo mazur yake mengi Sana tofaut na ngono kitandani ndo Maana mpk sahv Niko nae japo kingono ananiridhisha mwanamke mwngn
 
Huo ndo uanaume Sasa,
Sio unamtelekeza Mchepuko hatarini kisa hofu ya mkeo, Mkibaki wawili yanazungumzika Mbona[emoji4]
 
Hata kama unampenda unamtosa tu. Anayekupenda kamwe hawezi cheat hadharani au kufanya uzembe wa kufumaniwa. Ukiona mpaka unaweza kumfumania jua kakushusha sana anakuona boya huwezi mfanya lolote. Asilimia kubwa ya wanawake wanaofumania wanaume zao kisha wakasamehe huwa wanaishi maisha ya tabu mno. Maana mwanaume hatakua na sababu tena ya kuficha uzinzi wake
 
Numbisa mtu anaekucheat mpk ukamfumania sio kwamba Ni mzembe,Bali Wewe ndo umemzidi ujanja.

Tatizo tendo la ndoa mnali-overrate Sana Kias kwamba mnasahau na mazur mengine ya mtu.

Mnapaswa suala la mahusiano na uaminifu mliangalie kea mapana zaidi

Mi Kama mwanamke haniridhishi kitandani ila anayomzilur yake mengi Haina shida nafunika kombe tunaendlea kudate.

Tunapaswa kupenda sababu,
Kutumia akili Zaid kuliko hisia[emoji4]
 

Sasa mkuu na vipi ukifumaniwa mnakula demu wa mtu ukae tu? Hii ya wife kukufuma iko poa ila kuna kufumaniwa unakula mali ya watu ukipata kipenyo usitembee mbio?
 
Sasa mkuu na vipi ukifumaniwa mnakula demu wa mtu ukae tu? Hii ya wife kukufuma iko poa ila kuna kufumaniwa unakula mali ya watu ukipata kipenyo usitembee mbio?
Huwa nasema,
endapo nimefumaniwa na MKE wa mtu
Niko cornered sn na sioni pa kutokea, uyo mfumaniaji Kama kaziba Njia ya kutokea.

Ajiandae kula ngumi kubwa ya uso au chochote kilichokaribu nimpasue popote pale nipate upenyo nitoroke eneo la tukio.

Kama Kuna la KUONGEA na majeruhi,
Tutajua uko uko polisi au mahakamani. Tutayazungumza, ntalipa fidia yataisha[emoji4]

Aisee,
BORA LAWAMA, KULIKO FEDHEA ya FUMANIZI[emoji1]
 

Mkuu huu muongozo umekaa vizuri na unatkelezeka. lakini kuna angle hujaigusa. vipi kwa upande wa pili ukiwa na mke wa mtu na umefumaniwa na mumewe hapo unatoka vipi kiongozi?
 
Mke wangu alikamata picha nikiwa na mchepuko wangu nyumba ya wageni,tukiwa katika mazingira sio.....nilikataa huyo sio Mimi na msimamo ukanisaidia. Badala anune alianza kucheka maana nilijikataa huku nikiwa nimefura sana. Mwisho wa siku yaliisha akaniomba msamaha kwa kunifananisha kwenye simu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…