Mwanaume Ukifumaniwa unachepuka, usikimbie

Wakuu,
Hebu tuachane na story za yule mpuuzi jana katutia aibu sababu ya utoro wake kutohudhuria vikao, barua yake ya kumfuta uanachama iko tayari, itamkuta huko huko aliko.

Kila Mara kwenye vikao vyetu tunasema, Leo narudia,Tena kwa msisitizo zaidi:-
Mwanaume ukishakua mchepukaji lazima uwe na plan B unatoka vipi siku Ukifumaniwa unachepuka.

Sio unaanza kuweweseka, kubabaika na kuanza kujieleza Sana ukiomba misamaha kisa hofu ya kuachwa.
Mwanamke mpaka anakufumania huyo anakupenda sana na hayuko tayari kukuacha. Lengo la kukufumania Ni kumkomesha uyo mchepuko wako atie adabu na sio Wewe.

Sasa unapojishusha unampa mfumaniaji confidence ya kukufanyia atakavyo eneo la famanizi ikiwemo kukudhalilisha na kuhatarisha usalama wako pamoja na usalama wa huyo Mchepuko wako.

Unachotakiwa KUFANYA ni kujiamini, kuuvaa mfumo dume na kutumia UBABE kiasi ulioambatana na mkwara wa akili zaidi kutoroka eneo la fumanizi salama salmini mbele ya mfumaniaji kuepusha kudhalilika, madhara kwako na Mchepuko wako.

NB: Ukiona analeta usumbufu sana hata vibao kiasi vinaweza kumhusu shavuni ili mradi utoke eneo la tukio salama salmin na usidhalilike Zaidi.

Kama Kuna la kujadili, sio eneo la fumanizi, Basi mtakutana uko uko nyumbani. Na uko utaratibu Ni ule TU, KUKANA SHTAKA 100% , hata Kama ulikutwa LIVE mapajani unafanya mapenzi.

BINAFSI,
MWANAMKE YEYOTE ASIJE THUBUTU KUNIFUMANIA, WALIONIFUMANIA WOTE WAMEPATA MATOKEO TOFAUTI NA WALIYOTARAJIA ENEO LA FUMANIZI

Nawasilisha[emoji1431]
Ndo umefumaniwa na mwenye mke sasa!
 
Ndo umefumaniwa na mwenye mke sasa!
Binafs sijawahi tembea na MKE wa mtu

Ila huwa nasema endapo nimefumaniwa,
Niko cornered sn na sioni pa kutokea, uyo mfumaniaji Kama kaziba Njia ya kutokea ajiandae kula ngumi kubwa ya uso au chochote kilichokaribu nimpasue usoni nitoroke eneo la tukio.

Kama Kuna la KUONGEA,
Tutajua uko uko polisi au mahakamani. Tutayazungumza, ntalipa fidia yataisha[emoji4]

Aisee,
BORA LAWAMA, KULIKO FEDHEA ya FUMANIZI[emoji1]
 
Kwenye kikao siku hiyo nilkuwa nasinzia ila nilipoamka niliipata point ya kukataa kosa ni kukataa sijafanya

Mke wangu mimi simkimbii hata awe mcheza judo simkimbii zaidi tu kumtaftia mchepuko usafiri aende salama yeye apande kwenye gari tukifika nyumbani atajuta kwanini amefanya huo ujinga.

Unanifumania umenitolea mahari?
 
Yes na ndoa ya 20 yrs inavunjika
Ndo Maana nikasistiza kua kama bado unamhitaji usimfumanie

Mi mwnyw japo nna makandokando yangu kamwe siwez mfumania wife ata nijue ananicheat

Siku nikimfumania ujue nilikua natafta TU sababu ya kumpiga chini, ila fumanizi haiwez kua main reason.

Maisha ya ndoa Ni Zaid ya uzinzi,
Anayo mazur yake mengi Sana tofaut na ngono kitandani ndo Maana mpk sahv Niko nae japo kingono ananiridhisha mwanamke mwngn
 
Huo ndo uanaume Sasa,
Sio unamtelekeza Mchepuko hatarini kisa hofu ya mkeo, Mkibaki wawili yanazungumzika Mbona[emoji4]
 
Hata kama unampenda unamtosa tu. Anayekupenda kamwe hawezi cheat hadharani au kufanya uzembe wa kufumaniwa. Ukiona mpaka unaweza kumfumania jua kakushusha sana anakuona boya huwezi mfanya lolote. Asilimia kubwa ya wanawake wanaofumania wanaume zao kisha wakasamehe huwa wanaishi maisha ya tabu mno. Maana mwanaume hatakua na sababu tena ya kuficha uzinzi wake
Ndo Maana nikasistiza kua kama bado unamhitaji usimfumanie

Mi mwnyw japo nna makandokando yangu kamwe siwez mfumania wife ata nijue ananicheat

Siku nikimfumania ujue nilikua natafta TU sababu ya kumpiga chini, ila fumanizi haiwez kua main reason.

Maisha ya ndoa Ni Zaid ya uzinzi,
Anayo mazur yake mengi Sana tofaut na ngono kitandani ndo Maana mpk sahv Niko nae japo kingono ananiridhisha mwanamke mwngn
 
Numbisa mtu anaekucheat mpk ukamfumania sio kwamba Ni mzembe,Bali Wewe ndo umemzidi ujanja.

Tatizo tendo la ndoa mnali-overrate Sana Kias kwamba mnasahau na mazur mengine ya mtu.

Mnapaswa suala la mahusiano na uaminifu mliangalie kea mapana zaidi

Mi Kama mwanamke haniridhishi kitandani ila anayomzilur yake mengi Haina shida nafunika kombe tunaendlea kudate.

Tunapaswa kupenda sababu,
Kutumia akili Zaid kuliko hisia[emoji4]
 
Wakuu,
Hebu tuachane na story za yule mpuuzi jana katutia aibu sababu ya utoro wake kutohudhuria vikao, barua yake ya kumfuta uanachama iko tayari, itamkuta huko huko aliko.

Kila Mara kwenye vikao vyetu tunasema, Leo narudia,Tena kwa msisitizo zaidi:-
Mwanaume ukishakua mchepukaji lazima uwe na plan B unatoka vipi siku Ukifumaniwa unachepuka.

Sio unaanza kuweweseka, kubabaika na kuanza kujieleza Sana ukiomba misamaha kisa hofu ya kuachwa.
Mwanamke mpaka anakufumania huyo anakupenda sana na hayuko tayari kukuacha. Lengo la kukufumania Ni kumkomesha uyo mchepuko wako atie adabu na sio Wewe.

Sasa unapojishusha unampa mfumaniaji confidence ya kukufanyia atakavyo eneo la famanizi ikiwemo kukudhalilisha na kuhatarisha usalama wako pamoja na usalama wa huyo Mchepuko wako.

Unachotakiwa KUFANYA ni kujiamini, kuuvaa mfumo dume na kutumia UBABE kiasi ulioambatana na mkwara wa akili zaidi kutoroka eneo la fumanizi salama salmini mbele ya mfumaniaji kuepusha kudhalilika, madhara kwako na Mchepuko wako.

NB: Ukiona analeta usumbufu sana hata vibao kiasi vinaweza kumhusu shavuni ili mradi utoke eneo la tukio salama salmin na usidhalilike Zaidi.

Kama Kuna la kujadili, sio eneo la fumanizi, Basi mtakutana uko uko nyumbani. Na uko utaratibu Ni ule TU, KUKANA SHTAKA 100% , hata Kama ulikutwa LIVE mapajani unafanya mapenzi.

BINAFSI,
MWANAMKE YEYOTE ASIJE THUBUTU KUNIFUMANIA, WALIONIFUMANIA WOTE WAMEPATA MATOKEO TOFAUTI NA WALIYOTARAJIA ENEO LA FUMANIZI

Nawasilisha[emoji1431]

Sasa mkuu na vipi ukifumaniwa mnakula demu wa mtu ukae tu? Hii ya wife kukufuma iko poa ila kuna kufumaniwa unakula mali ya watu ukipata kipenyo usitembee mbio?
 
Huwa nasema,
endapo nimefumaniwa na MKE wa mtu
Niko cornered sn na sioni pa kutokea, uyo mfumaniaji Kama kaziba Njia ya kutokea.

Ajiandae kula ngumi kubwa ya uso au chochote kilichokaribu nimpasue popote pale nipate upenyo nitoroke eneo la tukio.

Kama Kuna la KUONGEA na majeruhi,
Tutajua uko uko polisi au mahakamani. Tutayazungumza, ntalipa fidia yataisha[emoji4]

Aisee,
BORA LAWAMA, KULIKO FEDHEA ya FUMANIZI[emoji1]
 
Wakuu,
Hebu tuachane na story za yule mpuuzi jana katutia aibu sababu ya utoro wake kutohudhuria vikao, barua yake ya kumfuta uanachama iko tayari, itamkuta huko huko aliko.

Kila Mara kwenye vikao vyetu tunasema, Leo narudia,Tena kwa msisitizo zaidi:-
Mwanaume ukishakua mchepukaji lazima uwe na plan B unatoka vipi siku Ukifumaniwa unachepuka.

Sio unaanza kuweweseka, kubabaika na kuanza kujieleza Sana ukiomba misamaha kisa hofu ya kuachwa.
Mwanamke mpaka anakufumania huyo anakupenda sana na hayuko tayari kukuacha. Lengo la kukufumania Ni kumkomesha uyo mchepuko wako atie adabu na sio Wewe.

Sasa unapojishusha unampa mfumaniaji confidence ya kukufanyia atakavyo eneo la famanizi ikiwemo kukudhalilisha na kuhatarisha usalama wako pamoja na usalama wa huyo Mchepuko wako.

Unachotakiwa KUFANYA ni kujiamini, kuuvaa mfumo dume na kutumia UBABE kiasi ulioambatana na mkwara wa akili zaidi kutoroka eneo la fumanizi salama salmini mbele ya mfumaniaji kuepusha kudhalilika, madhara kwako na Mchepuko wako.

NB: Ukiona analeta usumbufu sana hata vibao kiasi vinaweza kumhusu shavuni ili mradi utoke eneo la tukio salama salmin na usidhalilike Zaidi.

Kama Kuna la kujadili, sio eneo la fumanizi, Basi mtakutana uko uko nyumbani. Na uko utaratibu Ni ule TU, KUKANA SHTAKA 100% , hata Kama ulikutwa LIVE mapajani unafanya mapenzi.

BINAFSI,
MWANAMKE YEYOTE ASIJE THUBUTU KUNIFUMANIA, WALIONIFUMANIA WOTE WAMEPATA MATOKEO TOFAUTI NA WALIYOTARAJIA ENEO LA FUMANIZI

Nawasilisha[emoji1431]

Mkuu huu muongozo umekaa vizuri na unatkelezeka. lakini kuna angle hujaigusa. vipi kwa upande wa pili ukiwa na mke wa mtu na umefumaniwa na mumewe hapo unatoka vipi kiongozi?
 
Mke wangu alikamata picha nikiwa na mchepuko wangu nyumba ya wageni,tukiwa katika mazingira sio.....nilikataa huyo sio Mimi na msimamo ukanisaidia. Badala anune alianza kucheka maana nilijikataa huku nikiwa nimefura sana. Mwisho wa siku yaliisha akaniomba msamaha kwa kunifananisha kwenye simu yangu
 
Back
Top Bottom