Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,082
- 4,103
Wakuu habari,
Imetokea wewe kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe?
Ni hivi, kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti, binti anakua na mahusiano mengine ambayo anatimiziwa kila kitu na huyo jamaa yake na siku kadhaa wamekua wakitembeleana wapatapo nafasi.
Sasa kijana wa kiume anagundua kuwa mpenzi wake ana mpenzi mwingine though mnapendana sana.. na ukijiangalia wewe wa kiume huna uwezo.
Je utafunika kombe mwanaharam apite? Au utamuacha binti?