Mwanaume ukigundua mpenzi wako ana mpenzi mwingine anayemuhudumia na wewe huna uwezo huo utamsamehe?

Cha umuhimu ni kuangalia malengo yako kwenye mahusiano hayo..
Kama malengo yalikuwa ni kuoa basi hapo ni kuacha tu..
Na kama malengo ni kupita juu juu bas hapo unabaki tu..
Ila tujikumbushe kuwa zinaa ni haramu
Kuoa-unaacha
Kupita-unabaki
🤔🤔🤔
 
Wakuu habari,

Imetokea wewe kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe?

Ni hivi, kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti, binti anakua na mahusiano mengine ambayo anatimiziwa kila kitu na huyo jamaa yake na siku kadhaa wamekua wakitembeleana wapatapo nafasi.

Sasa kijana wa kiume anagundua kuwa mpenzi wake ana mpenzi mwingine though mnapendana sana.. na ukijiangalia wewe wa kiume huna uwezo..

Je utafunika kombe mwanaharam apite? Au utamuacha binti?
Tatizo linaanza pale mwanaume akujidanganya kuwa mbususu ni yako weye peke. Hapo kijana ni kuachana na huyo mrembo na kuendelea kutafuta mbususu mpya tuu
 
Ukitaka kushindana na mwanaume utaumia au kuzeekea kwenu.
Mwanaume ni kiumbe kingine, we lete ujuaji tu, na uzee unakunyemelea, mwanaume akizeeka ndio anavutia wanawake zaidi hasa akiwa na mshiko...rejea Mengi na Kylin.
Wewe ziwa likilala ksma ndala kwisha habari yako.
Kanywe soda kwa mangi nakuja kulipa
 
Wakuu habari,

Imetokea wewe kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe?

Ni hivi, kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti, binti anakua na mahusiano mengine ambayo anatimiziwa kila kitu na huyo jamaa yake na siku kadhaa wamekua wakitembeleana wapatapo nafasi.

Sasa kijana wa kiume anagundua kuwa mpenzi wake ana mpenzi mwingine though mnapendana sana.. na ukijiangalia wewe wa kiume huna uwezo..

Je utafunika kombe mwanaharam apite? Au utamuacha binti?
Hakuna mwanaume anayeweza kusamehe na kuvumilia huo upuuzi. Labda kama sina malengo naye , nina nia ya kupiga tu na kupita hivi
 
Inategemana Nina Nia gani na wewe ....Kama nilikufanya wa kutafunwa tu nasamehe uendelee kuhidumiwa ili niendelee kukitafuna kikojoleo chako.....
.ila Kama nilitaka kukufanya mke itabidi upigwe chini.
 
Wakuu habari,

Imetokea wewe kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe?

Ni hivi, kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti, binti anakua na mahusiano mengine ambayo anatimiziwa kila kitu na huyo jamaa yake na siku kadhaa wamekua wakitembeleana wapatapo nafasi.

Sasa kijana wa kiume anagundua kuwa mpenzi wake ana mpenzi mwingine though mnapendana sana.. na ukijiangalia wewe wa kiume huna uwezo..

Je utafunika kombe mwanaharam apite? Au utamuacha binti?
Huo ndo ule muda muafaka wa kukaribisha mizimu sasa!

In real situation siwezi baki na huyo mwanamke.
 
Back
Top Bottom