EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Mkuu huo uhusiano ukibaki basi Mungu mwenyewe ndio anajua, maana tusiombe mabaya. Yaani mwanamke achepuke kwa tamaa ya mahitaji na bado ataendelea kuwa nayo na kapata "mfadhili" unategemea ataacha? Kumbuki kijana maskini atarudi kwao.Si mimi.. nmetoa tu incidence ya namna hiyo.. uhalisia naomaanisha ni huo wa binti kupendana na kijana.. na si wote wanaochepuka kuwa ni malaya au kamaanisha.. si rahisi..
ahudumiwe kwani ni kilema kwamba hwezi kufanya kazi?? tunatoa za vitu vidogo tu huyo hafai piga chini kabda jogoo hajawika.Kwa hiyo wewe huwezi kumhudumia mpenzi wako?
Mvulana huyo, sifa ya mwanaume ni misimamo na kuto kuteteleka haijalishi anapitia hali gani.Hata 'wanaume' pia wapo hivyo mkuu
Mkuu mbona kama umeniongelea situation yangu ya sasa,Wakuu habari,
Imetokea wewe kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe?
Ni hivi, kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti, binti anakua na mahusiano mengine ambayo anatimiziwa kila kitu na huyo jamaa yake na siku kadhaa wamekua wakitembeleana wapatapo nafasi.
Sasa kijana wa kiume anagundua kuwa mpenzi wake ana mpenzi mwingine though mnapendana sana.. na ukijiangalia wewe wa kiume huna uwezo..
Je utafunika kombe mwanaharam apite? Au utamuacha binti?
Ukitaka kushindana na mwanaume utaumia au kuzeekea kwenu."Wanaume ni wavumilivu"?? Generally..
Nakubali mkuu, ni changamotoMkuu huo uhusiano ukibaki basi Mungu mwenyewe ndio anajua, maana tusiombe mabaya. Yaani mwanamke achepuke kwa tamaa ya mahitaji na bado ataendelea kuwa nayo na kapata "mfadhili" unategemea ataacha? Kumbuki kijana maskini atarudi kwao.
1.0 Maskini
2.0 Yupo mbali
IMEISHA HIYO
Sasa mkuu unamuachia nani na anakupenda?Ili kuepuka kugawana majengo ya serikali ni bora uachane naye tu.
Sasa mkuu unamuachia nani na anakupenda?
Mie nshindane na mwanaume izo nguvu natolea wapi?🤷♀️😂Ukitaka kushindana na mwanaume utaumia au kuzeekea kwenu.
Mwanaume ni kiumbe kingine, we lete ujuaji tu, na uzee unakunyemelea, mwanaume akizeeka ndio anavutia wanaume zaidi hasa skiwa na mshiko.
Wewe ziwa likilala ksma ndala kwisha habari yako.
Hivi unajua KUPENDA au UPENDO maana yake nini?Sasa mkuu unamuachia nani na anakupenda?
Ukizipata nishtue😋😂Daa ndio maana naendelea kutafuta pesa haya makitu haya "mapenzi"ngoja yaendelee kukaa pembeni kwanza
AnhaaNamuachia anayehudumia.
Usimpe niniWanasemaga endelea nae ila usimpe.Ha ha haa
Alaaaah...!Hivi unajua KUPENDA au UPENDO.
UPENDO ndani yake kuna (Shida na raha, uzima na ugonjwa).
Kinyume cha hapo hamna upendo na hakupendi.
Hapana kwa kweli mi nafanya maendeleo yangu hayo mapenzi kwangu yako kushoto sanaUkizipata nishtue[emoji39][emoji23]
Eti usilale nae,sijui anadhan unapewa bureUsimpe nini