Mwanaume, ukiona tabia za Mwanamke zimekushinda muache aende na si kumpiga

Mwanaume, ukiona tabia za Mwanamke zimekushinda muache aende na si kumpiga

that's why nilimuacha yule mkurya 🥲🙌🏾 imagine tupo kwa bed ananisimulia vile alikua anawabutua wadada walopita namimi nilivo kivuruge 😌
Kumbe ulikuwa wifi yangu eeh. Huyo alikuwa bado na ushamba.
 
Muache kuwala wake za watu, mwanaume ni katili kwa asili, hakuna simba anayetaka territory yake iingiliwe na simba mwingine.

Ukishajua huyu kaolewa achana na habari za kutaka kuonyesha ukidume wako. Tafuta "anything single" ujipigie. Short of that mtatandikwa na kuuwawa tu.

Mmoja juzi kaliwa kama mwanamke, yaani it's sad, kawekwa hadi leo hayupo mjini.
 
Utapigaje mwanamke? Huu ni upunguani! Kuna njia nyingi za kudeal na hawa viumbe! Sio kuwapiga!
Kwa hiyo mwanamke akiingiza mwanaume ndani kwako, akifanya uzinzi hadharani, akikupiga kofi, kukufokea, kukutukana(verbally abuse) hadharani wenyewe wanaita kuchamba nawe ufunge kibwebwe umchambe kama mwanamke mwenzako au uondoke ktk nyumba yako!!!??

Nadhani kuna campaign ya kuwafanya wanaume mabwege, mwanamke akimtukana, akimdharau kupita kiasi au kumpiga mwanaume lazma mwanaume atapandisha hasira na kumpiga ni natural consequence/reaction.

Pia tusiingilie imani za watu uislamu unaruhusu kupiga mke katika mazingira ya aina fulani.Wanawake wakumbushwe kuheshimu na kuwa na adabu kwa wanaume la sivyo vipigo hata vifo vitazidi kwa wanawake na wanaume kujinyonga baada ya kuua matokeo yake watoto kubaki yatima.
 
Muache kuwala wake za watu, mwanaume ni katili kwa asili, hakuna simba anayetaka territory yake iingiliwe na simba mwingine.

Ukishajua huyu kaolewa achana na habari za kutaka kuonyesha ukidume wako. Tafuta "anything single" ujipigie. Short of that mtatandikwa na kuuwawa tu.

Mmoja juzi kaliwa kama mwanamke, yaani it's sad, kawekwa hadi leo hayupo mjini.
Mbaya sana,hii kutokana na kutojua kama ni mke wa mtu,lakini kama unajua ni hatari na Wala usifanye ujinga huu.
 
Kuna tofauti ya demu na mke,
Mtu mmefunga ndoa, mmezaa watoto, siyo rahisi kufanya hivyo unavyosema kumove on.
Kama ni demu ni jambo rahisi kuachana naye, ila mwanandoa kabisa na watoto wapo, ni vigumu japo inawezekana.
 
Akienda dawati la jinsia huyo mume atapata taabu sana.

Tusifike huko, kama hautaki kumwacha mkeo basi oa mke wa pili!
 
Hivi unampigaje mwanamke anayekusaidia kufika safari zako za usiku bila bugudha yeyote?? Km umemchoka si umuache?
 
Back
Top Bottom