Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeoa? Kuna wakati hilo suala la kupiga hutokea bila kukusudia, anaweza akawa amefanya kosa ambalo ni la kumuonya kwa mdomo, lakini matokeo ya hayo mazungumzo yakapelekea kupiga.Utapigaje mwanamke? Huu ni upunguani! Kuna njia nyingi za kudeal na hawa viumbe! Sio kuwapiga!
Kuna Watu wanapenda kurahisisha sana mambo, wanafikiri jambo la kuacha ni jepesi!Kuna tofauti ya demu na mke,
Mtu mmefunga ndoa, mmezaa watoto, siyo rahisi kufanya hivyo unavyosema kumove on.
Kama ni demu ni jambo rahisi kuachana naye, ila mwanandoa kabisa na watoto wapo, ni vigumu japo inawezekana.
Au mwanamke anaweza kujizuia na kutoruhusu kuchapwa ili asimpe mwanaume sababu ya kumpiga. My point ni kwamba mwanaume huwa hapigi bila sababu ya kumsababisha kupiga labda kama ana matatizo ya akili.Kwa mliooa kama mke anachapwa sana, please move on. Mambo ya kupiga mwanamke yatakufikisha pabaya. Utaharibu future Yako.
Ungekaa tu ubutuliwethat's why nilimuacha yule mkurya 🥲🙌🏾 imagine tupo kwa bed ananisimulia vile alikua anawabutua wadada walopita namimi nilivo kivuruge 😌
B lady embu tuyajaribu tuone kama na wewe nitakunyuka au utanitafutia watu tunyukane nao kama Yule ticha wa Tabora,,Kama hutojali lakiniOh No, kwani mauhusiano ni ushetani ama? Why watu wanafikia hatua hii?