Mwanaume, ukiona tabia za Mwanamke zimekushinda muache aende na si kumpiga

Mwanaume, ukiona tabia za Mwanamke zimekushinda muache aende na si kumpiga

Utapigaje mwanamke? Huu ni upunguani! Kuna njia nyingi za kudeal na hawa viumbe! Sio kuwapiga!
Mkuu umeoa? Kuna wakati hilo suala la kupiga hutokea bila kukusudia, anaweza akawa amefanya kosa ambalo ni la kumuonya kwa mdomo, lakini matokeo ya hayo mazungumzo yakapelekea kupiga.
 
Kuna tofauti ya demu na mke,
Mtu mmefunga ndoa, mmezaa watoto, siyo rahisi kufanya hivyo unavyosema kumove on.
Kama ni demu ni jambo rahisi kuachana naye, ila mwanandoa kabisa na watoto wapo, ni vigumu japo inawezekana.
Kuna Watu wanapenda kurahisisha sana mambo, wanafikiri jambo la kuacha ni jepesi!
 
Kwa mliooa kama mke anachapwa sana, please move on. Mambo ya kupiga mwanamke yatakufikisha pabaya. Utaharibu future Yako.
Au mwanamke anaweza kujizuia na kutoruhusu kuchapwa ili asimpe mwanaume sababu ya kumpiga. My point ni kwamba mwanaume huwa hapigi bila sababu ya kumsababisha kupiga labda kama ana matatizo ya akili.

Mwanaume amekuwa programed from birth kumlinda na kumprotect mama yake, mwanamke wake, mtoto wake na wazee. Ukiona hafanyi hivyo jua kuna kitu alipitia.
 
that's why nilimuacha yule mkurya 🥲🙌🏾 imagine tupo kwa bed ananisimulia vile alikua anawabutua wadada walopita namimi nilivo kivuruge 😌
Ungekaa tu ubutuliwe

🤣🤣🤣
 
Oh No, kwani mauhusiano ni ushetani ama? Why watu wanafikia hatua hii?
B lady embu tuyajaribu tuone kama na wewe nitakunyuka au utanitafutia watu tunyukane nao kama Yule ticha wa Tabora,,Kama hutojali lakini
 
Back
Top Bottom