Mwanaume Ukishakuwa na vitu hivi we subiri tu kufa

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
843
Reaction score
1,630
Nafungua codes.

Mwanaume ukishakuwa na vitu vifuatavyo we subiri tu kufa.

1. Gari(BMW,Mercedes Benz, Ferrari)

2. Laptop (Macbook Pro, Lenovo thinkpad,lazer blade Pro 17, HP Zbook

3. Apartment ( Masaki na Oysterbay kwa bongo /Miami Los Angeles, dubai kwa ughaibuni)

4. Simu ghali (Samsung S24, iPhone achia wadada)

5. Passport, Visa, driving license, National ID.

6. Mke ( Awe ametokea Manyara, singida, Moshi au Tanga).

7.Mtoto mmoja (wa kike)

8.Bank account ( iwe ina 50M+)

9.Biashara moja matata. (100m Net assets)

10.Any real estate.

11.One really friend.

12. Good relationship with your Mom or dad.

13. Mtu mmoja ambae ulimfanyia wema na hawezi kukusahau.

SEE YOU AGAIN....
CODE ISHAFUNGULIWA, ACCESS GRANTED
 
Nafungua codes.
Mwanaume ukishakuwa na vitu vifuatavyo we subiri tu kufa.
1. Gari(BMW,Mercedes Benz, Ferrari)
2. Laptop (Macbook Pro, Lenovo thinkpad,lazer blade Pro 17, HP Zbook
3. Apartment ( Masaki na Oysterbay kwa bongo /Miami Los Angeles, dubai kwa ughaibuni)
4. Simu ghali (Samsung S24, iPhone achia wadada)
5. Passport, Visa, driving license, National ID.
6. Mke ( Awe ametokea Manyara, singida, Moshi au Tanga)

umesahau CCM
Yani hapo unakosa sifa kabisa
 
Impossible to meet all mentioned criteria labda uwe umeweka misukule au majini yanakufanyia kazi !
 
Aisee Mimi ata Moja humo simo, kwakweli mniache kwanza 😪
yani hata kifo kwenye kitabu cha mtoa roho kina kukataa sababu una maendeleo hapa duniani sawa kwenye kiatbu cha kifo jina lako linakuwa alina viwer na like za kutosha
 
Kwahiyo mimi siji kufa? Vitu vyangu .....

Gari sina, apartment sina ila naishi ukonga mombasa chumba sebule fresh tu, mke nnaye katokea Chikumbitwela Lindi, laptop nnayo ndio tena dell japo haikai na chaji naitumia kama TV ukichomoa kwenye socket tu inazima, simu nnayo itel A18, passport sina kwanza ya kazi gani, watoto nnao 5, wote wa kiume, bank account nnayo ndio, mwalimu bank, balansi 71k safi kabisa, vya real estate havinihusu ila biashara naanza mwakani naenda kujumua ufuta kusini

shida iko wapi?
 
Wewe una kipi ktk hivyo wakati ukisubiri kufa mkuu?

Maana mpaka umejua lazima utakuwa na experience na kimoja wapo.
 
Nafungua codes.
Mwanaume ukishakuwa na vitu vifuatavyo we subiri tu kufa.
1. Gari(BMW,Mercedes Benz, Ferrari)
2. Laptop (Macbook Pro, Lenovo thinkpad,lazer blade Pro 17, HP Zbook
3. Apartment ( Masaki na Oysterbay kwa bongo /Miami Los Angeles, dubai kwa ughaibuni)
4. Simu ghali (Samsung S24, iPhone achia wadada)
5. Passport, Visa, driving license, National ID.
6. Mke ( Awe ametokea Manyara, singida, Moshi au Tanga)
7.Mtoto mmoja (wa kike)
8.Bank account ( iwe ina 50M+)
9.Biashara moja matata. (100m Net assets)
10.Any real estate.
11.One really friend.
12. Good relationship with your Mom or dad.
13. Mtu mmoja ambae ulimfanyia wema na hawezi kukusahau.
SEE YOU AGAIN....
CODE ISHAFUNGULIWA, ACCESS GRANTED
Afya njema
 
Back
Top Bottom