Mwanaume Ukishakuwa na vitu hivi we subiri tu kufa

Una point naomba usikilizwe!

IMG-20240703-WA0009.jpg
 
1. Gari(BMW,Mercedes Benz, Ferrari)
2. Laptop (Macbook Pro, Lenovo thinkpad,lazer blade Pro 17, HP Zbook
3. Apartment ( Masaki na Oysterbay kwa bongo /Miami Los Angeles, dubai kwa ughaibuni)
4. Simu ghali (Samsung S24, iPhone achia wadada)
5. Passport, Visa, driving license, National ID.
6. Mke ( Awe ametokea Manyara, singida, Moshi au Tanga)
7.Mtoto mmoja (wa kike)
8.Bank account ( iwe ina 50M+)
9.Biashara moja matata. (100m Net assets)
10.Any real estate.
11.One really friend.
12. Good relationship with your Mom or dad.
13. Mtu mmoja ambae ulimfanyia wema na hawezi kukusahau.
"True wealth isn't in possessions but in the bonds and memories we create. Strive for success, but never forget the value of your relationships and the kindness you show."
 
Nafungua codes.
Mwanaume ukishakuwa na vitu vifuatavyo we subiri tu kufa.
1. Gari(BMW,Mercedes Benz, Ferrari)
2. Laptop (Macbook Pro, Lenovo thinkpad,lazer blade Pro 17, HP Zbook
3. Apartment ( Masaki na Oysterbay kwa bongo /Miami Los Angeles, dubai kwa ughaibuni)
4. Simu ghali (Samsung S24, iPhone achia wadada)
5. Passport, Visa, driving license, National ID.
6. Mke ( Awe ametokea Manyara, singida, Moshi au Tanga)
7.Mtoto mmoja (wa kike)
8.Bank account ( iwe ina 50M+)
9.Biashara moja matata. (100m Net assets)
10.Any real estate.
11.One really friend.
12. Good relationship with your Mom or dad.
13. Mtu mmoja ambae ulimfanyia wema na hawezi kukusahau.
SEE YOU AGAIN....
CODE ISHAFUNGULIWA, ACCESS GRANTED
Mhm
 
Kwahiyo mimi siji kufa? Vitu vyangu .....

Gari sina, apartment sina ila naishi ukonga mombasa chumba sebule fresh tu, mke nnaye katokea Chikumbitwela Lindi, laptop nnayo ndio tena dell japo haikai na chaji naitumia kama TV ukichomoa kwenye socket tu inazima, simu nnayo itel A18, passport sina kwanza ya kazi gani, watoto nnao 5, wote wa kiume, bank account nnayo ndio, mwalimu bank, balansi 71k safi kabisa, vya real estate havinihusu ila biashara naanza mwakani naenda kujumua ufuta kusini

shida iko wapi?
Angalia upo jukwani alafu tuliza hasira mkuu ni maoni tu😄😄😄
 
Wewe una kipi ktk hivyo wakati ukisubiri kufa mkuu?

Maana mpaka umejua lazima utakuwa na experience na kimoja wapo.
Sisubiri kufa ndoto ni kupata vyote hivyo...
Baada ya hapo ndoto zitakuwa zimetimia....
Neno "subiri kufa tu" linamaanisha umemaliza kila kitu
 
Nafungua codes.
Mwanaume ukishakuwa na vitu vifuatavyo we subiri tu kufa.
1. Gari(BMW,Mercedes Benz, Ferrari)
2. Laptop (Macbook Pro, Lenovo thinkpad,lazer blade Pro 17, HP Zbook
3. Apartment ( Masaki na Oysterbay kwa bongo /Miami Los Angeles, dubai kwa ughaibuni)
4. Simu ghali (Samsung S24, iPhone achia wadada)
5. Passport, Visa, driving license, National ID.
6. Mke ( Awe ametokea Manyara, singida, Moshi au Tanga)
7.Mtoto mmoja (wa kike)
8.Bank account ( iwe ina 50M+)
9.Biashara moja matata. (100m Net assets)
10.Any real estate.
11.One really friend.
12. Good relationship with your Mom or dad.
13. Mtu mmoja ambae ulimfanyia wema na hawezi kukusahau.
SEE YOU AGAIN....
CODE ISHAFUNGULIWA, ACCESS GRANTED
Kwa taarifa yako hizo sifa zote ulizotoa hawezi kua nazo mtu hapa chini ya jua,kila ukionacho kina raha fulani ktk macho yako pia kina karaha zake ambazo watu hawakwambii tu
 
Anhaa!!!

Basi mi nilijua ulimaanisha wanaovimiliki hivyo vitu ndiyo wanakuwa ktk hatari ya kufa zaidi kwa sababu kuvimiliki ni dhambi kumbe sivyo
 
Kwa taarifa yako hizo sifa zote ulizotoa hawezi kua nazo mtu hapa chini ya jua,kila ukionacho kina raha fulani ktk macho yako pia kina karaha zake ambazo watu hawakwambii tu
Kwa point ya kila kitu kina karaha nakubali, lakini sijakuelewa unaposema hizo sifa hawezi kuwa nazo mtu hapa chini ya jua unamaanisha nini? Kipi cha ajabu Kati ya hayo?
 
Nafungua codes.
Mwanaume ukishakuwa na vitu vifuatavyo we subiri tu kufa.
1. Gari(BMW,Mercedes Benz, Ferrari)
2. Laptop (Macbook Pro, Lenovo thinkpad,lazer blade Pro 17, HP Zbook
3. Apartment ( Masaki na Oysterbay kwa bongo /Miami Los Angeles, dubai kwa ughaibuni)
4. Simu ghali (Samsung S24, iPhone achia wadada)
5. Passport, Visa, driving license, National ID.
6. Mke ( Awe ametokea Manyara, singida, Moshi au Tanga)
7.Mtoto mmoja (wa kike)
8.Bank account ( iwe ina 50M+)
9.Biashara moja matata. (100m Net assets)
10.Any real estate.
11.One really friend.
12. Good relationship with your Mom or dad.
13. Mtu mmoja ambae ulimfanyia wema na hawezi kukusahau.
SEE YOU AGAIN....
CODE ISHAFUNGULIWA, ACCESS GRANTED
Duh?!
Hapo kweli mwanaume utakuwa HIGH FLYER!
 
Kwahyo ata cc tunao milik lenovo tunakufa
 
Back
Top Bottom