Mwanaume Ukishakuwa na vitu hivi we subiri tu kufa

"True wealth isn't in possessions but in the bonds and memories we create. Strive for success, but never forget the value of your relationships and the kindness you show."
 
Mhm
 
Angalia upo jukwani alafu tuliza hasira mkuu ni maoni tu😄😄😄
 
Wewe una kipi ktk hivyo wakati ukisubiri kufa mkuu?

Maana mpaka umejua lazima utakuwa na experience na kimoja wapo.
Sisubiri kufa ndoto ni kupata vyote hivyo...
Baada ya hapo ndoto zitakuwa zimetimia....
Neno "subiri kufa tu" linamaanisha umemaliza kila kitu
 
Kwa taarifa yako hizo sifa zote ulizotoa hawezi kua nazo mtu hapa chini ya jua,kila ukionacho kina raha fulani ktk macho yako pia kina karaha zake ambazo watu hawakwambii tu
 
Sisubiri kufa ndoto ni kupata vyote hivyo...
Baada ya hapo ndoto zitakuwa zimetimia....
Neno "subiri kufa tu" linamaanisha umemaliza kila kitu
Anhaa!!!

Basi mi nilijua ulimaanisha wanaovimiliki hivyo vitu ndiyo wanakuwa ktk hatari ya kufa zaidi kwa sababu kuvimiliki ni dhambi kumbe sivyo
 
Kwa taarifa yako hizo sifa zote ulizotoa hawezi kua nazo mtu hapa chini ya jua,kila ukionacho kina raha fulani ktk macho yako pia kina karaha zake ambazo watu hawakwambii tu
Kwa point ya kila kitu kina karaha nakubali, lakini sijakuelewa unaposema hizo sifa hawezi kuwa nazo mtu hapa chini ya jua unamaanisha nini? Kipi cha ajabu Kati ya hayo?
 
Duh?!
Hapo kweli mwanaume utakuwa HIGH FLYER!
 
Kwahyo ata cc tunao milik lenovo tunakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…