Mwanaume ukiweza kuwa mtanashati na smart utawakimbiza zero brain

Yote haya ni kwa ajili ya papuchi
In short sitabiriki na papuchi/Mali safi nazikula sana
 
Nilichukizungumza ndio umekazia mkuu
 
Sawa kabisa you nailed it
 
Ahsante,,
 
Yaan umimine kwenye glass hlf inayobak upeleke kwa gar?[emoji3][emoji3]
 
Yaan umimine kwenye glass hlf inayobak upeleke kwa gar?[emoji3][emoji3]
Ndiyo boss lazima ujue mwanamke anakupenda vipi ili ujue unapima kina usije zama kwa hawa maslay.
 
Kuna dem jamaa kitaa wanamuwaza mda wote na amekaza kweli chaajabu sijawahi ata kumtakia chchte kuhusu mapenzi lakini kanielewa kinoma na mm mwenyewe anajuafika sio mtoaji mtonyo na kiukweli sipendi kudandiadandia kila aina ya dem, apa kanipa miadi anataka nimpe muda tukutane anipe anachohisi ni stahiki yangu japo ajasema ila najua ni papuchi tu.

Umenena sahihi.
 

Vijana naona leo tunaandika madini tupu
 
I live whatever, Ninavaa vyovyote ninavyoona inafaa, na si mwanamke anavyoona inafaa. Iwe anapenda au hapendi, sipo kwa ajili ya kumfurahisha mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…