Tundazuri
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,932
- 2,525
Habari rafiki, kama kuna mwanaume anaevurugwa au kuteswa na mapenzi naomba usipate stress, njoo tuwe marafiki usilewe kupita kiasi utapata stress utadata buree, njoo rafiki tubadilishane mawazo popote ulipo tutakuwa tunawasiliana, mm nipo Dodoma kw sasa. Nitakupenda kama rafiki yangu na nitakujali niwe nakushauri. Nipo kwa ajili yako plz njoo inbox rafiki usiruhusu kuumizwa na mapenzi na mm nipo rafiki yako