Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Mtoa mada ana wivu wa kike, mwanaume rijali hana muda wa kufuatilia maisha ya mwanaume mwenzie.... [emoji23] [emoji1]
 
Sasa mzeebaba sijakuelewa, unamaindi wanaume wenye miguu laini kuvaa pensi lkn pia unasema wewe unamguu komavu ndomaana huvai pensi. So hoja yako ni nini hapa kwamba wanaume tusivae pensi au mwanaume yupi ndo avae pensi na yupi asivae ?
 
Huku kuna hoja ya viwanda huku kuna hoja ya kaptula.
Kwa pamoja tulijenge taifa
 
Jamani ni uumbaji tu na kujali ngozi na mwili co kwa wanawake tu,wanaume pia wahusike,by the way itc sexy ukikuta mkaka kavaa pensi flani hivi na miguu amazing
 
Mwanaume unapata mda wakuangalia mguu wa mwanaume mwenzio?
Fala kweli... Mi navaa kwani nilitaka niumbwe na mguu laini au Mungu kuniepusha na viajali nikakosa makovu iwe shida? We ndo shoga boya wewe... Wenzio tunageuka kuangalia miguu ya akina Mwajuma we unaangalia ya Charles. BOYA wewe
 
Inaonekana wanakuvutia...
 
Pensi kama nguo nyengine anayovaa mwanaume, joto lote hili kuvaa pensi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…