Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Mwanaume una mguu laini, unavaa pensi. Unataka tukuelewe vipi?

Napiga sana pensi za khaki. Mguu full nyoya na nakata mitaa!
 
sasa kam una tumbo kama pipa na miguu kama ufyagio unavaaje hiyo kaptula...??
ila sio poa kuvaa pensi iliyo juu ya goti kwa wanaume,ipite goti kdg.....
 
Siku hizi kuna ongezeko la wanaume kuvaa pensi fupi

Unakuta msela ana guu la bia halafu laini hata kovu hana anavaa pensi ujue anaonekana kama shoga

Mwanaume rijali kama mimi mguu umekomaa na una nywele kibao ziwezi kuvaa pensi

Nyie masela mnaovaa pensi mbele ya kadamnasi na hiyo miguu yenu soft mnatuaibisha wanaume wenzenu mnakua kama mashoga bhana .[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Peleka huko ngoko zako fungu la kukosa weye!!
 
Mzee acha tuvae tu pensi maana Dada zenu wanahusudu sana kuiona miguu yetu laivulaivu ikivyo sexy.

Wewe kama unavinyweleo kama katuni za bwana chezo huku kigimbi kimekujaa kama umefunga Gunzi kwenye mguu au betri la tiger niseme tu pambana na hali yako maana ni dhahiri pensi unatamani kuvaa ila miguu yako sio rafiki.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahah ah Ahah hahahahah, viumbe mna maneno utafikiri radio Tanzania ya SW before FM
 
Back
Top Bottom