Mwanaume unahitaji kufahamu hili kuhusu wanawake

Mwanaume unahitaji kufahamu hili kuhusu wanawake

1-3 Mwanamke anapenda pesa.
Hayo mengine yaendelee kuanzia namba 4.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ MWANAMKE anaependa Pesa sio mwanamke SAHIHI

Kuna watu wanakila kitu na wana provide kila kitu kwa Mwanamke na usafiri na nyumba Mzuri na kila kitu but still mwanamke anaenda kugawa tunda kwa dereva taksi au bodaboda did you think Why This happened?

MWANAMKE aliubwa kwa MWANAUME mwenye HEKIMA na AKILI BASI na si vinginevyo ๐Ÿ“Œ

We kua na Pesa then kosa akili afu uone kama utaweza kuishi na Mwanamke ๐Ÿ˜
 
Kwani hujaona hapo namba 4 inaendelea?

Soma uelewe.
 
You gonna suffer much bro for This mindset to women na hautoona Radha ya MAISHA Kamwe, mwanamke ni mtu muhimu Sana kwenye MAISHA ya MWANAUME YOYOTE

MWANAUME usipotambua umuhimu wa Mwanamke utatateseka sana na hi dunia na utazeeka mapema Sana take This in your mind and it gonna help u alot โœ๏ธ
mapenzi ya zama hizi ukijifanya nice guy utatesekana sana
kama una akili Kwamba Mwanamke ana provide k tu Dah jichunguze Mkuu we ndio tatizo kwa mwanamke
Unaishi dunia ipi mkuu? Mbona hiki unachokishangaa ndicho kinaendelea huku mtaani.
 
Ye mwenyewe mwanamke ni Pesa, namaanisha Pesa zimewekwa NDANI ya MWANAMKE ๐Ÿ˜

Kwaiyo ndio utambue kwamba ukikuta mwanamke kipaumbele chake cha kwanza ni Pesa ๐Ÿ‘‰Kwanza huyo ni Mwanamke mwenye tamaaa Kwaiyo hafai kwa chcht zaidi ya starehe tu ๐Ÿ‘‰ pili hajitambui ye ni Nani na amepewa uwezo na mamlaka Gani na aliemuumba

MUNGU aliweka kila kitu NDANI ya MWANAMKE na mwanamke yoyote akitambua hili na akasimama katika NAFASI yake kikamilifu ambayo MUNGU alimuweka mwanamke wa Aina hi atakua baraka Sana kwa mme wake, NDOA yake, Watoto wake na jamii yote kwa ujumla
26: Mwanamke anapenda HELA
 
Braza acha kukimbia kazi zako kwa bla bla mingi, plizz braza
 
1. Wanawake huanguka kimapenzi kupitia maneno ya mwanaume, wanabaki katika upendo kwa sababu ya matendo yake.

2. Wanachukia wakati mwanaume asiyejulikana anatumia majina ya karibu kama "Mpenzi", "Moyo wangu", "Upendo" kwao. Anaweza kufikiria kusema hivyo kunamvutia, lakini kwake anahisi ni kitu cha bei rahisi, kwamba anatumia majina hayo ya karibu kwa mwanamke yeyote tu.

3. Kabla hujamwambia "Nakupenda", hakikisha unajua maana, kina, uzito na jukumu la maneno hayo.

4. Anapenda kufunuliwa taratibu, usimtishe au kumrusha.

5. Ingawa moyo wake unaamini katika upendo, anahitaji kushawishiwa kwa nini anapaswa kupenda. Ni juu yako kumuita moyo wake kutoka kujificha.

6. Huamsha upendo kwake ikiwa tu unachukulia kwa uzito.

7. Uaminifu ni muhimu, mwambie ukweli licha ya jinsi unavyoweza kuwa mgumu kubeba, atakupenda na kukutegemea zaidi kwa hilo.

8. Wanawake wanafikiria juu ya ngono(sex) pia, lakini ni sehemu ya mwanamke aliyejifadhili kwa mwanaume wake maalum.

9. Wanawake wanapenda kupewa kipaumbele, mara anapoona humpi kipaumbele, anachukulia kuwa mambo yanavunjika kati yenu.

10. Zawadi bora unayoweza kumpa mwanamke ni muda wako. Unaweza kununua zawadi ghali lakini ikiwa unamnyima wakati wako, zawadi ghali haimaanishi mengi kwake. Kipimo chake cha upendo ni muda wako.

11. Kila mwanamke angependa mpenzi wake kumwamini, lakini mara nyingi wanawake wanahisi wanaume ni waoga na hawajui jinsi ya kumfikia. Shiliki naye matatizo yako, hofu na matumaini; anataka kuhisi unamuhitaji.

12. Kuna tofauti kati ya kupenda na kuwa katika mapenzi. Kukupenda ni chaguo lake binafsi, kuwa katika mapenzi na wewe kunategemea jinsi unavyomtendea na kumvutia.Unapoficha siri unamfanya ajihisi hana uhakika.

13. Njia rahisi ya kumfanya ajisikie salama ni kwa kumwezesha kwa habari. Mwambie marafiki zako, ratiba yako kwa siku, mpe tahadhari wakati utakapokuwa busy na usiweze kuzungumza au kukutana naye na ataelewa.

14. Ni jambo moja kusema unampenda, ni jambo lingine kumfanya ajisikie kupendwa. Wanaume wengi wanadai wanawapenda wanawake wao lakini wanawake wao hawajisikii kupendwa.

15. Kama msemo usemavyo "Haki lazima ifanyike, haki lazima ionekane ifanyike", kwa njia ile ile, fanya mambo yanayomfanya ajisikie kupendwa.

16. Wanawake hufanya mapenzi kwa moyo wao, mtende moyo wake vizuri na ndoa yako itakuwa na maisha ya ngono ya kusisimua. Anatarajia kukuendesha uchizi. Mtende vizuri nje ya chumba na chumbani atakuwa moto.

17. Itamuumiza ikiwa atapokea pongezi, sifa na heshima zaidi kutoka kwa wanaume wengine kuliko anavyopokea kutoka kwako.

18. Nje ya nyumba, atajipamba kwa njia ya kuvutia na ya kuvutia, si kwa sababu anataka kuvutia wanaume wengine lakini kwa sababu unamfanya ajisikie sexy na mrembo.

19. Mwanamume mwenye wasiwasi ni kugeuza. Yuko na wewe na sio mtu mwingine yeyote.

20. Tulia; wanaume wengine wanamtaka kutoka mbali lakini unaye karibu na binafsi maishaniMwanamume mwaminifu na mwenye ujasiri ni wa kuvutia sana.

21. Kila mwanamke siyo sawa. Mjue mwanamke wako, usifikirie ni kama ex wako, maarufu, vitu unavyosoma katika magazeti na blogi, au unavyoona kwenye sinema. mwake.

22. Mara nyingine yote mwanamke anahitaji ni wewe kumsikiliza. Atafunua kwako, si kwa sababu anataka umpe mwelekeo na ushauri lakini ili aweze kutoa hasira. Huna daima majibu kwa kila kitu, sikiliza tu.

23. Ikiwa utavunja naye sema ni kwa nini. Wanawake wanapenda kufunga, usipotee tu.
24. Mwanamke anapenda kwa yote, na kabla ya uhusiano/wako ndoa na mwanaume anaempenda kuisha, atatoa kwa yote. Pambana kwa ajili ya upendo wako naye, hawezi kuokoa upendo peke yake.

25. Mara nyingi amekuwa haona thamani yake na kuzuiwa. Kama mwanamume, fanya tofauti, tathmini juhudi zake

Credit to: John Damas
Hii namba 14&22 zimenigusa sana
 
mapenzi ya zama hizi ukijifanya nice guy utatesekana sana

Unaishi dunia ipi mkuu? Mbona hiki unachokishangaa ndicho kinaendelea huku mtaani.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Tunatofautiana Ndio maana nakushangaa wewe Mkuu na wewe unanishangaa mimi

Na Mimi hapa ndipo naamini kuna watu wapo hapa duniani lakini wanaishi kwenye ulimwengu mwengine tofauti kabisaa na ulimwengu hu wa kawaida ๐Ÿ˜

Lakini niamini Mimi Mkuu mwanamke ni mtu muhimu Sana katika MAISHA ya MWANAUME yoyote mwenye Akili badisha FIKIRA zako na utaiona thamani ya MWANAMKE ๐Ÿ˜ณ
 
Ni kweli mwanamke ana nafasi yake katika maisha ya mwanaume but i can't be simp just to satisfy a woman
 
Sichukui braza, nachukua maandiko mie....nimeagizwa kuzaa kwa uchungu.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Umeona Sasa hujuii hata kutofautiana kati ya UCHUNGU na UTUNGU

Kamwe huwezi kuzaa kwa UCHUNGU b'se UCHUNGU ni hisia mbaya anazozipata MTU NDANI yake (moyoni) pale anapotendewa jambo au kitu kibaya, Ni hali ya mateso ndani ya moyo, hali yakuumia kwa moyo kwa sababu yaโ€ฆAu ni ile hali ya kubeba teso, chukizo, au duku duku ndani ya moyo wa aliyeumizwa.

haina muingiliano wowote na Wakati wa kuzaa

Hali ya uchungu haiji automatically au moja kwa moja, pasipo kuumizwa moyo kwanza

Mara nyingi uchungu ukikaa moyoni huleta maangaiko kiasi cha kutaka kujiua au kuua chunguza wanaoua au kujiua utakuta ni UCHUNGU ulifika kikomo KIASI kwamba wakashindwa kustahimili ๐Ÿ˜

Sema umeandikwa uzae kwa UTUNGU na Sio UCHUNGU
 
Kamwe huwezi kumlidhisha Mwanamke,

mtengenezee mwanamke MAZINGIRA ya kulidhika mwenyewe NDANI yake na Sio KAZI NYEPESI it needs wisdom and nice minds na ukifanikiwa katika hili Mkuu nakuhakikishia utakua ni moja ya wanaume wenye furaha Sana katika hu ulimwengu na utachelewa Sana kuzeeka

Na sio kuzeeka tu bali hautoumwa hovyo hovyo ๐Ÿ˜

Ni kweli mwanamke ana nafasi yake katika maisha ya mwanaume but i can't be simp just to satisfy a woman
 
Masikini na matajiri wote wanapitia hali hiyo hiyo ya kupelekwa na mapenzi? Je nani amwokoe mwenzake? Kila mtu apambane na hali yake..
 
Miongozo yote iyo halafu in-return anacho-provide uyo mwanamke ni K tu sasa si ujinga huo. Nitaishi vile ninavyopenda nitaishi vile nilivyo mwanamke kama hawezi kuingia kwenye mfumo wangu anatembea.
Asante kiongozi, nilikuwa nasubiri Muongozo wako Katibu muenezi.
 
Back
Top Bottom