Mwanaume unahitaji kufahamu hili kuhusu wanawake

1-3 Mwanamke anapenda pesa.
Hayo mengine yaendelee kuanzia namba 4.
😁😁😁 MWANAMKE anaependa Pesa sio mwanamke SAHIHI

Kuna watu wanakila kitu na wana provide kila kitu kwa Mwanamke na usafiri na nyumba Mzuri na kila kitu but still mwanamke anaenda kugawa tunda kwa dereva taksi au bodaboda did you think Why This happened?

MWANAMKE aliubwa kwa MWANAUME mwenye HEKIMA na AKILI BASI na si vinginevyo πŸ“Œ

We kua na Pesa then kosa akili afu uone kama utaweza kuishi na Mwanamke 😁
 
Kwani hujaona hapo namba 4 inaendelea?

Soma uelewe.
 
mapenzi ya zama hizi ukijifanya nice guy utatesekana sana
kama una akili Kwamba Mwanamke ana provide k tu Dah jichunguze Mkuu we ndio tatizo kwa mwanamke
Unaishi dunia ipi mkuu? Mbona hiki unachokishangaa ndicho kinaendelea huku mtaani.
 
Ye mwenyewe mwanamke ni Pesa, namaanisha Pesa zimewekwa NDANI ya MWANAMKE 😁

Kwaiyo ndio utambue kwamba ukikuta mwanamke kipaumbele chake cha kwanza ni Pesa πŸ‘‰Kwanza huyo ni Mwanamke mwenye tamaaa Kwaiyo hafai kwa chcht zaidi ya starehe tu πŸ‘‰ pili hajitambui ye ni Nani na amepewa uwezo na mamlaka Gani na aliemuumba

MUNGU aliweka kila kitu NDANI ya MWANAMKE na mwanamke yoyote akitambua hili na akasimama katika NAFASI yake kikamilifu ambayo MUNGU alimuweka mwanamke wa Aina hi atakua baraka Sana kwa mme wake, NDOA yake, Watoto wake na jamii yote kwa ujumla
26: Mwanamke anapenda HELA
 
Braza acha kukimbia kazi zako kwa bla bla mingi, plizz braza
 
Hii namba 14&22 zimenigusa sana
 
mapenzi ya zama hizi ukijifanya nice guy utatesekana sana

Unaishi dunia ipi mkuu? Mbona hiki unachokishangaa ndicho kinaendelea huku mtaani.
😁😁😁😁 Tunatofautiana Ndio maana nakushangaa wewe Mkuu na wewe unanishangaa mimi

Na Mimi hapa ndipo naamini kuna watu wapo hapa duniani lakini wanaishi kwenye ulimwengu mwengine tofauti kabisaa na ulimwengu hu wa kawaida 😁

Lakini niamini Mimi Mkuu mwanamke ni mtu muhimu Sana katika MAISHA ya MWANAUME yoyote mwenye Akili badisha FIKIRA zako na utaiona thamani ya MWANAMKE 😳
 
😁😁😁 Chukua hi NDANI ya akili Yako itakusaidia Sana na kuna siku utanitafuta kunishukuru πŸ“Œ
Sichukui braza, nachukua maandiko mie....nimeagizwa kuzaa kwa uchungu.
 
Ni kweli mwanamke ana nafasi yake katika maisha ya mwanaume but i can't be simp just to satisfy a woman
 
Sichukui braza, nachukua maandiko mie....nimeagizwa kuzaa kwa uchungu.
😁😁😁 Umeona Sasa hujuii hata kutofautiana kati ya UCHUNGU na UTUNGU

Kamwe huwezi kuzaa kwa UCHUNGU b'se UCHUNGU ni hisia mbaya anazozipata MTU NDANI yake (moyoni) pale anapotendewa jambo au kitu kibaya, Ni hali ya mateso ndani ya moyo, hali yakuumia kwa moyo kwa sababu ya…Au ni ile hali ya kubeba teso, chukizo, au duku duku ndani ya moyo wa aliyeumizwa.

haina muingiliano wowote na Wakati wa kuzaa

Hali ya uchungu haiji automatically au moja kwa moja, pasipo kuumizwa moyo kwanza

Mara nyingi uchungu ukikaa moyoni huleta maangaiko kiasi cha kutaka kujiua au kuua chunguza wanaoua au kujiua utakuta ni UCHUNGU ulifika kikomo KIASI kwamba wakashindwa kustahimili 😁


Sema umeandikwa uzae kwa UTUNGU na Sio UCHUNGU
 
Kamwe huwezi kumlidhisha Mwanamke,

mtengenezee mwanamke MAZINGIRA ya kulidhika mwenyewe NDANI yake na Sio KAZI NYEPESI it needs wisdom and nice minds na ukifanikiwa katika hili Mkuu nakuhakikishia utakua ni moja ya wanaume wenye furaha Sana katika hu ulimwengu na utachelewa Sana kuzeeka

Na sio kuzeeka tu bali hautoumwa hovyo hovyo 😁

Ni kweli mwanamke ana nafasi yake katika maisha ya mwanaume but i can't be simp just to satisfy a woman
 
Masikini na matajiri wote wanapitia hali hiyo hiyo ya kupelekwa na mapenzi? Je nani amwokoe mwenzake? Kila mtu apambane na hali yake..
 
Miongozo yote iyo halafu in-return anacho-provide uyo mwanamke ni K tu sasa si ujinga huo. Nitaishi vile ninavyopenda nitaishi vile nilivyo mwanamke kama hawezi kuingia kwenye mfumo wangu anatembea.
Asante kiongozi, nilikuwa nasubiri Muongozo wako Katibu muenezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…