Mwanaume unahitaji kufahamu hili kuhusu wanawake

Muda huo wa kumtengenezea hayo mazingira mimi ndio sina, wameshindwa kumtengenezea wazazi wake tangu wamemzaa halafu ndo msalaba huo nibebeshwe mimi, Hell noo.
 
Miongozo yote iyo halafu in-return anacho-provide uyo mwanamke ni K tu sasa si ujinga huo. Nitaishi vile ninavyopenda nitaishi vile nilivyo mwanamke kama hawezi kuingia kwenye mfumo wangu anatembea.
NASISITIZA
 
Ukiweza kumfanyia hayo yote wewe utakua malaika. Cha msingi tuishi tu, bet what you can afford to loose
 
Kamwe hakujawahi kuwa na fomyula ya kumwelewa mwanamke!

Mwelewe uliyenaye. Zitambue sifa bainifu (tabia) zinazomfanya kuwa yeye; na ukomae nazo hizo. Zingine zitakuwa njema; na zingine zitakuwa mbaya. Angalia mbaya zinazorekebishika kama utaweza kuzirekebisha. Angalia pia zisizorekebishika kama utaweza kuzivumilia. Halafu mpende sana binti wa watu. Komaa na malengo yako na jibidishe sana kuwa bora kwa kadri inavyowezekana - kiuchumi, kiroho na kihisia. Mengine yote yatafuata baada ya hapo. Talking this from experience!
 
Muda huo wa kumtengenezea hayo mazingira mimi ndio sina, wameshindwa kumtengenezea wazazi wake tangu wamemzaa halafu ndo msalaba huo nibebeshwe mimi, Hell noo.
😂😂 Kuna tofauti kati ya wazazi na mme na mme ndie muoaji Kwaiyo wewe ndiye mwenye wajibu wa kumtengeneza mke according to Your Vision

Na hili ndio tatizoo letu wanaume, tunakwepa gharama za kutengeneza MWANAMKE akawa wife material Ili awe mke mwema matokeo yake tunaoa wanawake na kuwaweka ndani na mwisho wa Siku tuna pigwa na vitu vizito na kuanza kushusha lawama kwa hawa viumbe

Kusema ukweli mke ana thamani kubwa Sanaaaaaaaaa....... Na kumpata kuna gharama kubwa sanaaaaaaa..... Na Sio gharama ya fedha

Unafikiri kwanini waswahili husema "kosea vitu vyotee ila usikose kuoa" 😁

Kuna tofauti kubwa sana kati ya MKE na Mwanamke.

👉 Waulize walio oa Wanawake wanajua nini kiliwapata 😠

👉maulize walio pata NEEMA ya kuoa wake watakwambia jinsi MAISHA yalivyo mazuri na matamu 😊
 
Ni kweli mwanamke ana nafasi yake katika maisha ya mwanaume but i can't be simp just to satisfy a woman
Red pill member.
Kwa kweli hata mimi siwezi kuwa Simp tena. Dhambi ya Usimp nimeifanya na kuitubia, aisee ukiwa mwema unaonekana dhaifu .
They mistake kindness as weakness.
 
Muda huo wa kumtengenezea hayo mazingira mimi ndio sina, wameshindwa kumtengenezea wazazi wake tangu wamemzaa halafu ndo msalaba huo nibebeshwe mimi, Hell noo.
Uko sahihi.
Always angalia past yake.
Ila kama akitubu kwa Mungu akanionyesha kwa matendo, hapo I will reconsider.
 
Yule kiumbe ana hili desa nini? Kila point ni njia zake, anapita humohumo.
I'm blessed.
 
Tuishi nao kwa akili na bila formula. Tujitahidi kuwatimizia mahitaji yao kama wanaume lkn tusiende extreme ya kujipendekeza...au kujitoa ufahamu
 
I put this message into practice, thanks bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…