kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 421
Wewe kwenye kukagua, hujawahi hisi kwamba hichi nilichogusa ndiyo kizazi?
Na mnapokichokonoachokonoa hvo mtasababisha watu wapate canser ya kizazi.Wewe kwenye kukagua, hujawahi hisi kwamba hichi nilichogusa ndiyo kizazi?
Wengi tunakigusaga kila tufanyapo tendo la ndoa, ila hatujajua bado kwamba hiki ninachokigusa ndiyo kizazi.
Wenye kiungo husika wenyewe, yaani wanawake, hawajui kama hapa ninapoguswa ndiyo kizazi(yai).
Kila mwanamke ninayekuwa naye faragha nikimuuliza nakigusa kizazi chako?, hajui, anabaki anantolea macho tu.
Kwa sababu wanawake wengi hawajui ndani ya maungo yao, labda wanaume wenzangu mmeshawahi ku experience kugusa kizazi cha mwanamke.
Twende kazi
Ninacho target mimi, namaanisha kile kizazi kilicho ndani ya uke, au namaanisha kizazi kinachoguswa na uume wakati wa kujaamiana. Kiwe kizazi, au liwe yai, vyovyote vile ni sawa, ili mradi iwe kinachoguswa na uume wakati wa kujamiiana.Hebu fafanua kwanza
Kizazi ni nini
Yai ni nini
Au vyote unamaanisha ni kitu kimoja?
Ninacho target mimi, namaanisha kile kizazi kilicho ndani ya uke, au namaanisha kizazi kinachoguswa na uume wakati wa kujaamiana. Kiwe kizazi, au liwe yai, vyovyote vile ni sawa, ili mradi iwe kinachoguswa na uume wakati wa kujamiiana.
Zaidi tu, kama nimewakilisha maneno vibaya, unaweza kuweka sawa, halafu tuendelee.
Nataka nijue tu mkuu.Hii migegedo ya mwendo kasi sasa huko kwenye kizazi mnatafuta nini?
Kweli hii weekend ina mambo.... lakini imeniacha nikiwa nimefurahi sana na elimuvpia nimeipata vema.....Wenyewe wenye kiungo husika, yaani wanawake, hawajui kama hapa ninapoguswa ndiyo kizazi(yai).
Kila mwanamke ninayekuwa naye faragha nikimuuliza nakigusa kizazi chako?, hajui, anabaki anantolea macho tu.
Kwa sababu wanawake wengi hawajui ndani ya maungo yao, labda wanaume wenzangu mmeshawahi ku experience kugusa kizazi cha mwanamke.
Twende kazi
nikijibiwa leo ntafurahi kweli. Halafu simaanishi ile g-spot ya kumfikisha. Namaanisha ile iliyo mbali ya g-spot, kizazi chenyewe ukimgusa anakuwa hasikii raha, anakuwa anasjisikia kawaida tu.nitakosea nikutaka kujua umri wako mkuu! yaan wewe unahis ukigusa kizaz ndo unamfikisha hahahahahhhah
Atakuwa ametembelewa na jini mkata kamba.... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sasa unataka umguse ili iwaje!
Kwani kizazi ni nini na yai la mwanamke ni nini?Ninacho target mimi, namaanisha kile kizazi kilicho ndani ya uke, au namaanisha kizazi kinachoguswa na uume wakati wa kujaamiana. Kiwe kizazi, au liwe yai, vyovyote vile ni sawa, ili mradi iwe kinachoguswa na uume wakati wa kujamiiana.
Zaidi tu, kama nimewakilisha maneno vibaya, unaweza kuweka sawa, halafu tuendelee.
Ukiwa unajamiiana unafika mahali ukiingiza sn dhakari unagota mahali, nae anackia maumivu sana..nawe unackia kbs umegusa gololiNimeshawahi sikia mara nyingi tu kwamba, wakati unajamiiana na mwanamke, unakuwa unagusa kizazi, yaani yai la mwanamke.
Utajuaje kama hiki nilichokigusa ndiyo kizazi cha mwanamke?
Asante.