Mwanaume unajuaje umegusa kizazi/yai la mwanamke wakati wa kujamiiana?

Mwanaume unajuaje umegusa kizazi/yai la mwanamke wakati wa kujamiiana?

Ukiingiza gegedo ukiona anakutolea mimacho kwelikweli jua hapo umegusa!!
 
Ukiwa unajamiiana unafika mahali ukiingiza sn dhakari unagota mahali, nae anackia maumivu sana..nawe unackia kbs umegusa gololi

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu lako mkuu linafanana na mtaalam huyu, kama ni kura basi jibu ni hilo.
Ngoja tuwasubiri wengine.
Asee huwezi kugusa mayai ya mwanamke hata uwe na mkuyenge mrefu kiasi gani.

kwa Anatomy ya mwili wa mwanamke ni kwamba ukiwa na mkuyenge mrefu sana utaishia kugusa cervix, yaani shingo ya uzazi. Tusidanganyane mayai kutoka kwenye ovary huwa yanaachiwa na kuingia kwenye mirija fallopian, (fallopian tube).
Wala huwezi gusa chochote zaidi ya shingo ya uzazi ambayo huwa ina vihisi vya maumivu vingi na ndo mana mwanamke husikia maumivu makali endapo utagusa Sehemu hii.

Nawatakia tafakari njema.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimeshawahi sikia mara nyingi tu kwamba, wakati unajamiiana na mwanamke, unakuwa unagusa kizazi, yaani yai la mwanamke.

Kuna vitu vingine kama hamjui ni bora msiandike...

Yai la mwanamke na kizazi wapi na wapi ikawa ni kitu kimoja bwana mdogo!!!
 
Nimeshawahi sikia mara nyingi tu kwamba, wakati unajamiiana na mwanamke, unakuwa unagusa kizazi, yaani yai la mwanamke.
Utajuaje kama hiki nilichokigusa ndiyo kizazi cha mwanamke?
Asante.
Ungekuwa umesoma biology shule ya secondary ningekukumbusha topic ya human sexual reproduction na ndipo ungeelewa kwamba kizazi unacho kizungumzia na yai (litokalo kwenye ovary) ni vitu viwili tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weee mkalize style ya miguu yake mabegan kwako alafu uikunje zaidi kiasi kwamba magot yake yaguse tumbo lake ..

Ata km unakibamia hapo lazima utagusa ,,nautamsikia akisema " usiingize sana unaniumiza " pale uume uwa ndo mwisho wake ,,hapa lazima ausikilizie km tumbon ivi ..iyo ndo wat we call kigololi.

Simo.
 
bios nilikimbia mkuu.
Ila kumbusha tu hiyo topic ya human sexual reproduction, nitajitutumua hivyohivyo nielewe misamiati migumu ya kigiriki na kilatini. Nisipoelewa nitaangalia hata google images au hata biology dictionaries.
Fafanua unavyoweza mkuu, ili mradi nielewe.
 
NDIYO TABU YA KUIGA VIDEO ZA NGONO, UNASEX NA MWANAMKE KWA KUMKOMOA BADALA YA KURIDHISHANA.
 
Weee mkalize style ya miguu yake mabegan kwako alafu uikunje zaidi kiasi kwamba magot yake yaguse tumbo lake ..

Ata km unakibamia hapo lazima utagusa ,,nautamsikia akisema " usiingize sana unaniumiza " pale uume uwa ndo mwisho wake ,,hapa lazima ausikilizie km tumbon ivi ..iyo ndo wat we call kigololi.

Simo.
nimekusoma mkuu.
Ngoja tuwasubiri wa akina Laplace theorem waje.
 
Ukiona ametoka nduki tu..naniliu mkononi ujue basi umeshaharibu
 
Kuna vitu vingine kama hamjui ni bora msiandike...

Yai la mwanamke na kizazi wapi na wapi ikawa ni kitu kimoja bwana mdogo!!!
ndiyo maana nikauliza mkuu.
Mtu anayeuliza maana yake hajui.
Weka mambo sawa kama vipi.
Ikiwezekana tutofautishie tuelewe.
 
funga camera mbele ya kichwa,uwe na screen pembeni utagundua kwa haraka.

Habeeb Marhan
 
Back
Top Bottom