ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
Ukiingiza gegedo ukiona anakutolea mimacho kwelikweli jua hapo umegusa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu lako mkuu linafanana na mtaalam huyu, kama ni kura basi jibu ni hilo.Ukiwa unajamiiana unafika mahali ukiingiza sn dhakari unagota mahali, nae anackia maumivu sana..nawe unackia kbs umegusa gololi
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee huwezi kugusa mayai ya mwanamke hata uwe na mkuyenge mrefu kiasi gani.
kwa Anatomy ya mwili wa mwanamke ni kwamba ukiwa na mkuyenge mrefu sana utaishia kugusa cervix, yaani shingo ya uzazi. Tusidanganyane mayai kutoka kwenye ovary huwa yanaachiwa na kuingia kwenye mirija fallopian, (fallopian tube).
Wala huwezi gusa chochote zaidi ya shingo ya uzazi ambayo huwa ina vihisi vya maumivu vingi na ndo mana mwanamke husikia maumivu makali endapo utagusa Sehemu hii.
Nawatakia tafakari njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshawahi sikia mara nyingi tu kwamba, wakati unajamiiana na mwanamke, unakuwa unagusa kizazi, yaani yai la mwanamke.
Ungekuwa umesoma biology shule ya secondary ningekukumbusha topic ya human sexual reproduction na ndipo ungeelewa kwamba kizazi unacho kizungumzia na yai (litokalo kwenye ovary) ni vitu viwili tofauti.Nimeshawahi sikia mara nyingi tu kwamba, wakati unajamiiana na mwanamke, unakuwa unagusa kizazi, yaani yai la mwanamke.
Utajuaje kama hiki nilichokigusa ndiyo kizazi cha mwanamke?
Asante.
bios nilikimbia mkuu.Ungekuwa umesoma biology shule ya secondary ningekukumbusha topic ya human sexual reproduction na ndipo ungeelewa kwamba kizazi unacho kizungumzia na yai (litokalo kwenye ovary) ni vitu viwili tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
wengine tulikimbia.yai? hivi watu hamkusoma biology kabisa eti?
nimekusoma mkuu.Weee mkalize style ya miguu yake mabegan kwako alafu uikunje zaidi kiasi kwamba magot yake yaguse tumbo lake ..
Ata km unakibamia hapo lazima utagusa ,,nautamsikia akisema " usiingize sana unaniumiza " pale uume uwa ndo mwisho wake ,,hapa lazima ausikilizie km tumbon ivi ..iyo ndo wat we call kigololi.
Simo.
ndiyo maana nikauliza mkuu.Kuna vitu vingine kama hamjui ni bora msiandike...
Yai la mwanamke na kizazi wapi na wapi ikawa ni kitu kimoja bwana mdogo!!!
Sante mkuu...Jibu lako mkuu linafanana na mtaalam huyu, kama ni kura basi jibu ni hilo.
Ngoja tuwasubiri wengine.
Subiri ukiwa mkubwa utajua tuNimeshawahi sikia mara nyingi tu kwamba, wakati unajamiiana na mwanamke, unakuwa unagusa kizazi, yaani yai la mwanamke.
Utajuaje kama hiki nilichokigusa ndiyo kizazi cha mwanamke?
Asante.