Mwanaume unajuaje umegusa kizazi/yai la mwanamke wakati wa kujamiiana?

Kwani kizazi ni nini na yai la mwanamke ni nini?

from Katesh using Siemens C55
hapo sina uhakika wa kuelezea vizuri mkuu.
kama unajua tiririka tu tupate fiada, tusilete mbwembwe saana za kuelezea kitaalam, muhimu tu, nazungumzia kile unachokigusa wakati wa kujamiiana, sijui yai!, sijui kizazi!, namaanisha kile kilichomo ndani ya uke, kiwe yai, au kiwe kizazi, ili mradi tu, kiwe ndani ya uke, na kinagusika wakati wa kujamiiana.
 
nisome fresh mkuu !nimemuuliza aguse ili iwaje yaan kitokee nini ! rudi kwenye mada
dhumuni nataka niwe najua kukisense kwa kutumia dushe. Hiyo ndiyo sababu kuu, nataka nikijue kwa kukisense kwa kutumia dushe, umeelewa?
 
Asee huwezi kugusa mayai ya mwanamke hata uwe na mkuyenge mrefu kiasi gani.

kwa Anatomy ya mwili wa mwanamke ni kwamba ukiwa na mkuyenge mrefu sana utaishia kugusa cervix, yaani shingo ya uzazi. Tusidanganyane mayai kutoka kwenye ovary huwa yanaachiwa na kuingia kwenye mirija fallopian, (fallopian tube).
Wala huwezi gusa chochote zaidi ya shingo ya uzazi ambayo huwa ina vihisi vya maumivu vingi na ndo mana mwanamke husikia maumivu makali endapo utagusa Sehemu hii.

Nawatakia tafakari njema.

Sent using Jamii Forums mobile app

 
shukrani sana mkuu.
Umetupatia mwanga wa pa kuanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…