Mwanaume unajuaje umegusa kizazi/yai la mwanamke wakati wa kujamiiana?

Hii mada mnajadili kitu kinaitwa VIA vya Uzazi.

Via vya uzazi ni viungo vinavyohusika na uzazi.

Kuna aina mbili ... Via vya kike na kiume.

Hutambuliwa kwa makundi mawili yaani Via vya ndani na Via vya nje.

Sasa kwa mwanamke.
Via vya nje
- Mashavu (Labia Major and Minor)
- Kisimi (critoris hasa anapotoa maji ya furaha yake - kupiz)

Via vya ndani
- Uke (tundu la uke linalopitiwa na uume )
- Shingo ya kizazi (Cervix- tundu dogo ambalo ndio mwanzo wa kizazi / Uterus ambalo hupitisha mbegu ya kiume, damu ya hedhi, mtoto anaezaliwa nk

Hii shingo ya kizazi ipo juu ya uke kwa ndani hivyo unapofanya majamiiano unaweza igusa - inamaumivu hata kizazi kinaposafishwa huguswa na inamaumivu hata wakati wa vipimo kama saratani ya shingo ya kizazi huwasababishia maumivu.

- Kizazi (uterus) hii ni nyumba ya mji wa mimba. Nje ya kizazi kwa pembeni (right&left sides ) kuna mfuko wa mayai (ovary) na juu ya kizazi kuna mirija ya mayai (fallopian)

Hivyo yai hutoka kwenye mfuko wa mayai hurukia kwenye mirija. Hukaa hapo kusubiri mbegu yaani week ya pili tangu headhi. Mimba hutungwa hapo kwenye mirija ndipo hushuka kwenye mji wa mimba kulelewa.

Mbegu isipo lifikia yai. Hushuka kwenye mji wa mimba na kupasuka ndio hedhi.

Dr.M.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo noted mkuu.
Jibu lingine sahihi ni hilo.
Akisema unamuumiza, hapo maana yake umegusa kizazi.
Japo jibu la kinadharia limeshapatikana, nataka mtaalam mmojawapo atuwekee mchoro wa kibailojia wa hicho ninachogusa, halafu anasema namuumiza.
 
We na dem wako wote hamjielewi, unaanzaje kumuuliza eti nimegusa kizazi.. haaa !!

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
We na dem wako wote hamjielewi, unaanzaje kumuuliza eti nimegusa kizazi.. haaa !!

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
ukikaa kimya bila kuuliza vitu vingine utakuwa hujui. Kwani kubaya kumuuliza demu hivyo?
 
Pakuanzia kwenda wapi..?! Hapo ndo mwisho wa huu uzi maana jibu ndo hili.

Toa upuuzi wako wa vijiweni hapa..!

Sent using Jamii Forums mobile app
pa kuanzia kupo.
-nataka nijue hiyo sehemu kwa mchoro na jina lake la kisayansi, (je, unaweza kuweka picha hapa ya kibaiolojia na kuniambia jina la kisayansi la hiki kiungo?)
mi siyo msela wa kijiweni, mimi ni mtu mzima mwenye heshima zake ujue, kwa hiyo kuwa makini na kauli zako, sawa?
 
Wakati mwingine unagusa skeleton ya hapo kwenye V afu unadanganywa eti umegusa kizazi, intetion apo ni kuwepa moyo kwamba una dushe la haja ka punda vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…