Mwanaume unajuaje umegusa kizazi/yai la mwanamke wakati wa kujamiiana?

Aisee,
Mi nikiingiza yote lzm mwanamke ashtuke na kupiga yowe, yan unagusa kitu km mfupa hv.

Utajua pale atakapo ruka na kulalamika "Usiingizee yote"
Maumbile marefu sometime yakakera, unataman uingize yote lkn ndo unamwumiza mwezio.

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
Uwezo huo pekee ni great great great thinker.

Habeeb Marhan
Huyo Habib ni yule jamaa aliyemsumbua sana Jack Bauer na codes sijui za Nuclear baada ya kushusha Airforce one?
 
mkuu ni mpaka uwe na maumbile marefu, au upatr mwanamke mwenye nyonga fupi

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
Dogo, nikwambie tu hamna kitu kama hicho, waliokusimulia wamekudanganya au nao ni madogo kama wewe!
 
Dogo, nikwambie tu hamna kitu kama hicho, waliokusimulia wamekudanganya au nao ni madogo kama wewe!
acha kuzingua.
Kuna wenye umri mkubwa tu hawajui mambo haya. Pengine kwa sababu ya,
-kutokuwa na uelewa wa kumsoma mwanamke wakati wa tendo la ndoa
-kutokuwa na elimu ya kutosha ya via vya uzazi.
-kutopata muda wa kujumuika na watu kwenye mazungumzo ya viungo vya uzazi.
Kwa hiyo acha mambo ya kuita wakubwa wenzio madogo.
 
Sawa "dogo zee", ila yao la mwanamke aka ovary sio kama la kuku au bata, jua na hilo!!
 
Tatizo la wenye vibamia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nijaribu..

Hakuna mwanaume mwenye uwezo wa kugusa kizazi au mayai ya uzazi ila kinachowezekana kugusa ni kitu kinaitwa cervix (shingo ya kizazi), hii ni sehemu ambayo huweza kuruhusu manii peke yake au kitu kingine chenye asili ya kimiminika kupita. Kizazi ni eneo ambalo mimba hutungwa(Uterus) baada ya manii kupenya kwenye cervix na kwenda kurutubisha yai. Ili "mdudu" wako ufike kwenye kizazi unapaswa kupita kwenye cervix na utatakiwa kuwa na mdudu wenye size ya njiti ya baiskeli au ya fagio kwasababu tundu ya cervix ni ndogo sanaa...

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…