Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
View attachment 3468979
My people hope mko poa kabisa ni mwendo wa VPN tu nikisomeka hapa France.
Kuna kisa kimoja nimekipata leo asubuhi nikiwa ndani ya public transport kuelekea job, ni mwanamama ambaye anaongea kwenye line baada ya kupigiwa call kutoka kwa ndugu zake
Bimkubwa huyu analalamika kwamba mumewe daily husema kwamba hana hela,na hivyo majukumu yote ya familia anabeba yeye
Sasa Mungu sio Bey, bimkubwa si akaamua kusachi nguo ya mumewe akakuta shilingi Milioni Mbili [2,000,000/=]
Akasema yeye akachukua shilingi laki Moja [100,000/=] na lengo sio kutumia ila kumfanya mumewe ajue kwamba bimkubwa ameshtukia mchezo.
Na kweli mkulungwa akaingia kwenye line,akauliza wife vipi umechukua hela yangu? Wife akajibu ndio,kwahiyo hapo akauliza si unasemaga huna hela je,hizi ni nini?
Mwamba akajibu ana mahesabu nazo! Hapo nyuma kidogo bimkubwa baada ya kuona mzigo ule aliwaonyesha watoto wake,mnamuona baba husema hana hela je, hizi ni nini?
Baadae kilichofuata ni mwamba akalazimishwa kulala chini,kwasababu vitu vya ndani alinunua wife
Kwahiyo juzi mwamba kalala chini na jana kuamkia leo kalala chini,na bimkubwa akasema ingawa wana nyumba wamejenge wote,ila akimaliza kibanda chake anaondoka
Bimkubwa akasanuka kwamba hata pale mtaji wake unapokata akimuomba mumewe hata 20,000/=, huyu mwamba huwa hatoi
Huyu mwanaume mwenzetu katuangusha sana,kwanini hawajibiki kwa familia yake,kama watu kama nyie mpo humu ebu badilikeni,mwanaume ni kubeba majukumu
Ila kibaya ni Muongo Muongo halafu kaweka mzigo mfukoni mwake,je hajui kuna wake zetu ambao ni majasusi?
Kutoka France kwa mujibu wa VPN mimi expert wako Bey
Ni hayo tu.
Do you have a problem with that bro?"mimi expert wako Bey"
🚮🚮🚮
You ain't shit bro...
No, you are the problem.Do you have a problem with that bro?
Sio kwa siku moja ni ndani ya nusu saa flani hivi expert wangu,au ni kipaji🤣🤣Hayo yote umeandika, ni umesikia kwenye daladala chap tena kwa sikumoja? Umebarikiwa
That means it's my business isn't it?No, you are the problem.
If its yours and yours only, why dont you write your own shit on your room's wall.That means it's my business isn't it?
View attachment 3468979
My people hope mko poa kabisa ni mwendo wa VPN tu nikisomeka hapa France.
Kuna kisa kimoja nimekipata leo asubuhi nikiwa ndani ya public transport kuelekea job, ni mwanamama ambaye anaongea kwenye line baada ya kupigiwa call kutoka kwa ndugu zake
Bimkubwa huyu analalamika kwamba mumewe daily husema kwamba hana hela,na hivyo majukumu yote ya familia anabeba yeye
Sasa Mungu sio Bey, bimkubwa si akaamua kusachi nguo ya mumewe akakuta shilingi Milioni Mbili [2,000,000/=]
Akasema yeye akachukua shilingi laki Moja [100,000/=] na lengo sio kutumia ila kumfanya mumewe ajue kwamba bimkubwa ameshtukia mchezo.
Na kweli mkulungwa akaingia kwenye line,akauliza wife vipi umechukua hela yangu? Wife akajibu ndio,kwahiyo hapo akauliza si unasemaga huna hela je,hizi ni nini?
Mwamba akajibu ana mahesabu nazo! Hapo nyuma kidogo bimkubwa baada ya kuona mzigo ule aliwaonyesha watoto wake,mnamuona baba husema hana hela je, hizi ni nini?
Baadae kilichofuata ni mwamba akalazimishwa kulala chini,kwasababu vitu vya ndani alinunua wife
Kwahiyo juzi mwamba kalala chini na jana kuamkia leo kalala chini,na bimkubwa akasema ingawa wana nyumba wamejenge wote,ila akimaliza kibanda chake anaondoka
Bimkubwa akasanuka kwamba hata pale mtaji wake unapokata akimuomba mumewe hata 20,000/=, huyu mwamba huwa hatoi
Huyu mwanaume mwenzetu katuangusha sana,kwanini hawajibiki kwa familia yake,kama watu kama nyie mpo humu ebu badilikeni,mwanaume ni kubeba majukumu
Ila kibaya ni Muongo Muongo halafu kaweka mzigo mfukoni mwake,je hajui kuna wake zetu ambao ni majasusi?
Kutoka France kwa mujibu wa VPN mimi expert wako Bey
Ni hayo tu!
You know what bro,if you have your personal problems don't put on meIf its yours and yours only, why dont you write your own shit on your room's wall.
How do you define me being smart or not? If you are a retard dumb fck.You know what bro,if you have your personal problems don't put on me
Am not the reason behind your stress and all that
Would you be smart enough to solve your own problems peacefully?
Bwashee mtazamo wa upande wa pili ni wao na Familia yao🤣🤣Mambo ya ndoa ni kazi sana , mambo ya kuishi na mtu mwenye meno 32 ni kazi mno , huenda ungesikiliza na upande wa pili ungeweza linganisha na kupata mtazamo sahihi zaidi.
Got no time for bullshitHow do you define me being smart or not? If you are a retard dumb fck.
How do you define me being stressed or not, if you are a deluded dumb fck.
Ila jamaa nae miyeyusho sana ,hakuna haja ya kujenga familia ambayo inakuwia ngumu kuhudumia .Bwashee mtazamo wa upande wa pili ni wao na Familia yao🤣🤣
Thank u for understanding how much a retard and deluded you are.Got no time for bullshit
Have a nice day bro!
Umejuaje expert wangu🤣🤣Nina uhakika wewe ni demu maana huu ni umbea
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nina uhakika wewe ni demu maana huu ni umbea
Ur welcome,hope you are happy now🤣🤣Thank u for understanding how much a retard and deluded you are.
Have a nice one dumb fck.