Mwanaume unakuwaje muongo muongo halafu hujipangi?

Hii migogoro ya masuala ya ndoa, malezi na mahusiano tujenge utamaduni wa kusikiliza pande zote mbili ndipo tuje na mapendekezo ya jumla. Huu utamaduni wa kusikiliza mwanamke peke ake ndio umejenga narrative kwamba kwenye kila mgogoro mwanaume ni villain na mwanamke ni victim, na wanawake washajua kwamba wana victim status kwaiyo wanaitumia kama loophole kufanya ulaghai na kukwepa kuwajibika pale wanapojua wamealibu
 
Nakubaliana na wewe kabisa expert wangu,kuna haja kubwa sana ya kusikiliza pande zote mbili

Maana wakati mwingine waeza kutoa hukumu ambayo ni batili na kinyume na uhalisia

Ila kwa hili habari ya leo mnivumilie tu🤣🤣 kwasababu nisingeweza Pata habar ya upande wa pili ila ni kuzinduana tu tutimize majukumu yetu kama wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…