Mwanaume unanyoa salon ya bei gani?

Mwanaume unanyoa salon ya bei gani?

Hutumia 4000 kunyoa na 8,000 kufanya scrub.

Tuwa support vijana walioamua kujiajiri.
 
Nagharamia wembe tu najikata mwenyewe tena safi kabisa.
 
Huku kwetu ni 2000 pia, sema mda wa kuosha wale wadada wanaweza kufanya ulipe 20000 usipokuwa makini.
 
Huku kwetu ni 2000 pia, sema mda wa kuosha wale wadada wanaweza kufanya ulipe 20000 usipokuwa makini.
Kaoshe nyumbani kwako, kazi ndogo sana hao wadada wanachaji pesa ndefu
 
Back
Top Bottom