Sure aisee kuna mchizi wangu yeye Akipata pesa dakika pombe mademu alafu anakuja kunikopa.( ALAFU WATU WAHIVI HELA ZAO WAO NIWACHOYO KINYAMA).
Mwezi wapili kanipigia simu usiku wa SAA saba , oya mwanangu G oyaaa nimekwama Man, nitumie Laki na hamsini.
Nkammchengaaaaa lkn kakomaa TU imefika SAA nane nikamuonea huruma, ilikua siku ya Jumatano.
Mpaka akanifata Job , basi nikamwambia hapa Nina 120 tu , nkampa . kwa makubaliano ya kunirudishia Jumamos.
Mazeee mpaka Leo Kaacha kunitafuta, Hela haja nipa, nilimdai wee Nmeamua kuacha, nimefuta na namba, URAFIKI UMEKUFA.
Namsubiri Siku ajichanganye mamaeee!!. Pesa yangu Unatumia Kupombeka na mademu alafu unanichenga?.
Bora umkopeshe Demu, akikoswa anakupa Mzigo unajipooza .
"What is yours will always be yours no matter what "