and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Yaani mtu mzima, huna ulemavu ila unapenda starehe; pombe, wanawake ila kutwa kupiga mizinga ili iweje? Mbona mnataka tutende dhambi? Msitujaribu zama hizi.
NB: ukimpa ofa, akifika bar anaagiza vinywaji vya Bei mbaya huku mishipa you're imemlegea. Tusitafutane ubaya ndugu zangu
NB: ukimpa ofa, akifika bar anaagiza vinywaji vya Bei mbaya huku mishipa you're imemlegea. Tusitafutane ubaya ndugu zangu