Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuoa Mwanamke mrefu kukuzidi?


Sasa apo kelvin kwa urefu wake pata picha atafute mwanamke mfupi [emoji28]
 

dah

c.c Jemima Mrembo
 
Kuna mahala nimetaja suala la utiaji mimba hapo?

Hata mbilikimo na Mangoose wanatia mimba.
Wewe ni mwanaume ukimpenda mrefu tambaa naye tu...kidume ni kidume tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…