KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Asante sana kwa heshima hii....na kuanzia sasa nitakuwa naitwa...Kuanzia leo wewe nakutunuku udaktari ( doctorate) wa heshima.
Dr KikulachoChako........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kwa heshima hii....na kuanzia sasa nitakuwa naitwa...Kuanzia leo wewe nakutunuku udaktari ( doctorate) wa heshima.
Yaani unatafuta kuwa comfortable ili kuwavutia watu? Mimi sioni ufupi Kama Ni tatizo maana Hakuna Mtu amejiumba so huku Tz tunasumbulia na ujinga unatafta vitu ili watu wakuone ni zaidi ya ujinga.Wanasemaga wanaume wafupi ni good husband material huwa sielewagi kwann
Alafu hapo kwa ft 6 kuendelea juuu sio 2% ni 1% asee bongo andunje ni wengi kupita maelezo 😂😂
We Jamaa una Akili Sana Maisha ni kujiamini na Wala sio mwonekano wa nje wa Mtu maana hapa Tz watu wafupi na wenye sura personal ni wengi sana so tukitumia vigezo vya kuhukumu mitazamo ya nje itakuwa bullying hiyo.Asante sana kwa heshima hii....na kuanzia sasa nitakuwa naitwa...
Dr KikulachoChako........
Hakika ndugu watu wasiojiamini ndio huzalisha uzushi mbali mbali ili kushibisha nafsi zao zilizojaa mashaka na hofu...........We Jamaa una Akili Sana Maisha ni kujiamini na Wala sio mwonekano wa nje wa Mtu maana hapa Tz watu wafupi na wenye sura personal ni wengi sana so tukitumia vigezo vya kuhukumu mitazamo ya nje itakuwa bullying hiyo.
Mie nina 162cm. Bae ana 183 cm.Mtoa mada una hoja usikilizwe, mie kiukweli mwanaume naemzidi kimo simtaki sitamuheshimu, na wala hizo couple hazipendezi, home zipo couple kibao za hivyo ila sizielewagi
hamna kitu hichoHachapiwi kweli???
Yani niuone utosi wako unavyodunda halafu nikuheshimu!!! ThubutuuKwa hiyo sie andunje ndio hatuoaswi kukojolea pazuri😭😭😭😭
Hapana ft 6 sifikiUna kimo gani...tuanzie hapo.
Kama umezidi 6ft shikamoo😂
Yani inakuwa kama mtu na mama yake akuuu sitaki hizo tabu mieSio wewe tu, ingia kwny Opera news za Wazungu sasa....!
Ndio balaa...sijui tulijiumba wenyewe?
Basi nakumudu🤣Hapana ft 6 sifiki
Me mfupi ila wanawake wote niliodate nao ni warefu.ni kujiamini tu...Moja ya hasara kubwa kwa mwanamume ni kutojiamini mbele ya mwanamke na kutojua thamani na maana ya uanamume wake mbele ya mwanamke......
Hakuna mwanamke mwenye ujanja mbele ya mwanamume anayejiamini na kutambua thamani na nafasi yake mbele ya mwanamke hata kama uwe mfupu kama jagi.....
Pole kwangu hapanaMie nina 162cm. Bae ana 183 cm.